Jibu ulichoulizwa, acha utumwaAiseee,trl 154 ziko wap?
Unadhani wazungu hua wanakurupuka kama nyie?
Wanajipanga,wanaandaa charges tu,ikifika muda wa ku-strike,niggas you are in deep shit!
Nyie subirini...mzungu hua asahau kitu mzee!
Acha upumbavu...Hadi leo unaendekeza utumwa kwa wazungu! Hata kama wanatuzidi maarifa lazima nasi tujitutumue japo kidogo
Muache huyo kakurupuka. Yesu mwenyewe sasa karne ya 21, bado tunamsubiri arudi, itakuwa kesi ya za WAZUNGU!! wacha tusubiri tu.Unadhani wazungu hua wanakurupuka kama nyie?
Wanajipanga,wanaandaa charges tu,ikifika muda wa ku-strike,niggas you are in deep shit!
Nyie subirini...mzungu hua asahau kitu mzee!
Hpo yenyewe vitu vyote unavyotumia vimetengenezwa na mzungu!Hadi leo unaendekeza utumwa kwa wazungu! Hata kama wanatuzidi maarifa lazima nasi tujitutumue japo kidogo
nilidhani mababu zetu ndio walitawaliwa na kuathirika na hofu ya wazungu, kumbe hii kitu inarithiwa......Unadhani wazungu hua wanakurupuka kama nyie?
Wanajipanga,wanaandaa charges tu,ikifika muda wa ku-strike,niggas you are in deep shit!
Nyie subirini...mzungu hua asahau kitu mzee!
Angalia ulivyo mpumbavu?! Makinikia yana-account asilimia ngapi ya mapato yao na madini safi ambayo hadi kesho wanaendelea kusafirisha yana-account asilimia ngapi ya mapato yao?! Ndo maana nimekuambia hujui lolote, kwahiyo piga kimya!Acacia wanasafirisha makinikia kama zamani?
Natetea mwenye haki yake....Ewe kenge uliyejaa unyumbubkichwani ,hapa unatetea madini ya watanzania au wazungu?
Mkuu ilitakiwa useme ikumbukwe mikataba hii ya kinyonyaji ilipitishwa na Serikali ya CCM,Ikumbukwe sekeseke la kubadili sheria na mikataba yote ya kinyonyaji kwenye madini lilianzishwa na rais Magufuli baada ya kuona taifa halinufaiki chochote
Kama makinikia haya account chochote kwa nini wanalilia kuyasafirisha?Angalia ulivyo mpumbavu?! Makinikia yana-account asilimia ngapi ya mapato yao na madini safi ambayo hadi kesho wanaendelea kusafirisha yana-account asilimia ngapi ya mapato yao?! Ndo maana nimekuambia hujui lolote, kwahiyo piga kimya!