PostGE2025 Lissu: Tume za uchunguzi ni dekio la uchafu wa serikali, Jaji Mkuu Chande ndiye msafishaji mkuu wa uchafu huo

PostGE2025 Lissu: Tume za uchunguzi ni dekio la uchafu wa serikali, Jaji Mkuu Chande ndiye msafishaji mkuu wa uchafu huo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Wakuu

Huu hapa ujumbe wa Tundu Lissu kutoka Gerezani

"Tume za Uchunguzi ni dekio la uchafu wa serikali na Jaji Mkuu Mohamed Chande ndiye msafishaji mkuu wa uchafu huo.

Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Mauaji Bonde la Ihefu mwaka 2006. Matokeo yake? Sifuri!

Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Vyombo vya Haki Jinai Mwaka 2023. Matokeo yake? Sifuri!

Sasa ni Mwenyekiti wa Tume ya Mauaji Makubwa katika historia ya nchi yetu yote. Tutegemee matokeo gani? Sifuri!

Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji! Hakuna Amani bila Haki"

TAL, Ukonga Central Prison

Oktoba 21, 2025

Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025
 
Wakuu

Huu hapa ujumbe wa Tundu Lissu kutoka Gerezani

"Tume za Uchunguzi ni dekio la uchafu wa serikali na Jaji Mkuu Mohamed Chande ndiye msafishaji mkuu wa uchafu huo.

Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Mauaji Bonde la Ihefu mwaka 2006. Matokeo yake? Sifuri!

Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Vyombo vya Haki Jinai Mwaka 2023. Matokeo yake? Sifuri!

Sasa ni Mwenyekiti wa Tume ya Mauaji Makubwa katika historia ya nchi yetu yote. Tutegemee matokeo gani? Sifuri!

Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji! Hakuna Amani bila Haki"

TAL, Ukonga Central Prison

Oktoba 21, 2025
hawa wasom wetu hawana busara kabisa yaan wameweka pesa kuliko mapenz kwa taifa lao
Mpk sasa bado hawaon hatari iliyopo mbele yetu kama taifa bado wanamkumbatia huyo mama

Najiuliza iwapo wangekuwa hawana hizo cv si wangemlamba miguu kbs
 
Hiyo kazi aliyopewa huyo Jaji Chande imeshafeli.

International Medias zimeshaweka kila kitu wazi. Hata afanyeje ukweli umeshafika duniani na wenyw dunia yao wanajiandaa kuchukua hatua tu.
 
WAtawala wana tuchezea akili sasa tuna dance na tume badala ya kuupinga utawala uliojisimika madarakani.

Kama rais siyo halali, tume siyo halali.

Kwanini tunajadili tume.

Tujadili D9 tutayaondoaje majambazi.
 
Viongozi na machawa wa ccm ndio wana imani na hiyo tume, sio kwakuwa inafanya kazi kwa weledi, bali inaweza kufuata maelekeozonya kuficha ukweli.
 
Screenshot_20251120-220343~2.png
 
Huyu bibi anamaslahi makubwa aliojiwekea yeye na familiar yake anaona akiaacha basi hatapata tena nafasi kama hio.
 
Kwanini tunajadili tume.

Tujadili D9 tutayaondoaje majambazi.
Matumaini makuu ya hawa watu waovu ni kununua muda ili watu wasahau yaliyotokea na mambo yarudi kuwa kama kawaida.

Tanzania haiwezi kurudi kuwa kama kawaida tena wakati kukiwa na HARAMU.

HARAMU ni lazima iondolewe kwanza, halafu tuanze ujenzi wa Tanzania mpya.
 
Tuwaondoe kwa nguvu tusikubali ujinga wao huu wa kutaka ku buy time.
 
Tume ya mauaji ya Mzee Kibao iliishia wapi?

Tume ya ghorofa la Kkoo iliishia wapi?

Hizi tume hazina tija yeyote ile. Ni upigaji tu.
 
Back
Top Bottom