Lissu: Ofisi yetu ya Kanda imepigwa bomu, hakuna ugaidi wala kitisho kitakachozuia mabadiliko yanayokuja Tanzania

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Ofisi yetu ya Kanda ya Kasikazini iliyoko Arusha imepigwa moto na kuharibiwa siku ya kuamukia kwa ujio wangu Arusha. Pamoja na tukio hilo ratiba ya leo haijabadilika. Hakuna kiwango chochote cha kigaidi wala vitisho kitakacho zuia tsunami la mabadiliko Tanzania. Tundu Lissu.

Tundu Lissu: Tutaenda kufanya mkutano wetu wa udhamini hapo hapo, kwenye ofisi yetu ambayo wamefanya vitendo vyao vya kigaidi. Tukutane Arusha.

#SasaBasi #NguvuYaUmma #TunduLissu2020.

IMG_20200814_102058.jpg

Ofisi yetu ya Kanda ya Kasikazini iliyoko Arusha imepigwa Bomu na kuharibiwa siku ya kuamukia kwa ujio wangu Arusha. Pamoja na tukio hilo ratiba ya leo haijabadilika. Hakuna kiwango chochote cha kigaidi wala vitisho kitakacho zuia tsunami la mabadiliko Tanzania. Tundu Lissu.
Asante sana kiongozi wa watanzania, tuna kuhakikisha kuwa kura zetu zote umesha zipata
 
Ofisi yetu ya Kanda ya Kasikazini iliyoko Arusha imepigwa Bomu na kuharibiwa siku ya kuamukia kwa ujio wangu Arusha. Pamoja na tukio hilo ratiba ya leo haijabadilika. Hakuna kiwango chochote cha kigaidi wala vitisho kitakacho zuia tsunami la mabadiliko Tanzania. Tundu Lissu.

View attachment 1536785
Matukio ya kutengeneza na hii inaonyesha jinsi gani jamaa wapo tayari kufanya ili wapate madaraka, hata tupigane kama nchi zingine kwao sawa.
 
Back
Top Bottom