Lissu: Nipo kwenye ile nyumba tangu 2010, mimi sio mjinga kusema kuna camera na nyaya zote zinaingia kwa waziri Kalemani

"Mimi nimekaa kwenye hilo jengo tangu mwaka 2010 nilipochaguliwa kama mbunge na mpaka sasa vitu vyangu bado vipo mule, ninaposema kuna cctv sizungumzi kwa kuambiwa, nazungumza kwa sababu naishi mule, pale kwenye parking niliposhambuliwa, kitu cha kwanza kinachoonekana ni hiyo cctv, na inaingia ndani kwa Waziri Kalemani, kwa hiyo nadhani vifaa vyake vingine vipo ndani ya Waziri”. - Tundu Lisu
Instagram media - Bt2Krycj3b7.jpg
 
Uongo mwingine..alishawahi kuingia kwa kalemani? Halafu kumbe huyu mtu ndio maana ana kiburi sababu walimpa hadhi kubwa sana..mbunge wa kawaida na wala sio afisa wa serikali wanamuwekaje na mawaziri?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mawaziri wa Tanzania unaona ni watu wenye hadhi na thamani sana!? Nadhani hujui hata mtu mwenye thamani. Siku moja moja niko kwenye ndege, wanawake fulani wakapiga picha na waziri mmoja, mmoja wao akakaa pembeni yangu. Akaanza kutaka kummpamba huyo waziri, jibu nililompa nadhani alienda kufuta hiyo picha haraka sana. Safari yake yote iligeuka shubiri.
 
Vipi anaonana lini na Trump??... Nimesema humu mara kibao, hizo hotuba zake USA hazina mpango. Zimepita na ndo imetoka, naona hamuamini kama ndo imeoka hiyo hadi mnaanzisha thread ya story zilezile. Amevuma wiki mbili na imepita hiyo, kabadili nini?,kapata nini?.. Jifunzeni kukubaliana na ukweli kila nchi ina matatizo yake.Lissu kwisha habari yake.. mnabaki CCTV,CCTV, tuseme zilifichwa, mna solution gani mkishajua hivyo?
 
Uongo mwingine..alishawahi kuingia kwa kalemani? Halafu kumbe huyu mtu ndio maana ana kiburi sababu walimpa hadhi kubwa sana..mbunge wa kawaida na wala sio afisa wa serikali wanamuwekaje na mawaziri?

Sent using Jamii Forums mobile app

Usitumie jazba na povu sana unapojaribu kujibu hoja neno la lissu nikwamba "anadhani" vifaa vyake vyengine vya hiyo cctv vipo ndani ya ile nyumba ya waziri kalimani" hana uhakika ametumia neno "anadhani"

sasa kama mnakataa kwanini hamjaenda kuchunguza kwamba hivyo vifaa vyake vyengine havikuwa mule ndani na vilikuwa sehemu nyengine? umma wa Wtz ukapata kujua mbivu na mbichi??
 
Uongo mwingine..alishawahi kuingia kwa kalemani? Halafu kumbe huyu mtu ndio maana ana kiburi sababu walimpa hadhi kubwa sana..mbunge wa kawaida na wala sio afisa wa serikali wanamuwekaje na mawaziri?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu unataka kutuambia kuwa we ni nyumba ndogo ya Lisu kwa hiyo unajua nyendo zake zote na hivo kutuhakikishia kuwa hajawahi kuingia kwenye nyumba ya Kalemani au sio?
 
Uongo mwingine..alishawahi kuingia kwa kalemani? Halafu kumbe huyu mtu ndio maana ana kiburi sababu walimpa hadhi kubwa sana..mbunge wa kawaida na wala sio afisa wa serikali wanamuwekaje na mawaziri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ili iwe rahisi kupata taarifa zake, huoni kuwa waziri ndo aliwekwa hapo na wala sio Lisu alimfuata waziri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo mwingine..alishawahi kuingia kwa kalemani? Halafu kumbe huyu mtu ndio maana ana kiburi sababu walimpa hadhi kubwa sana..mbunge wa kawaida na wala sio afisa wa serikali wanamuwekaje na mawaziri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anachozungumzia Lissu ni kuwa inawezekana baadhi ya storage device ya CCTV hizo zipo kwenye jengo analoishi. Kalemani maana kuna namna wire zimeelekea huko.

Acha kutapa tapa na kuondoa watu kwenye mada, jibu swali moja, CCTV Camera zilizodumu kwa zaidi ya miaka 8 zimeenda wapi, na kwa nn ziondolewe tu baada ya tukio hilo kutokea? Poor plan yaani bora wangetoa a week before sema ndo Mungu sio mnafiki!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi anaonana lini na Trump??... Nimesema humu mara kibao, hizo hotuba zake USA hazina mpango. Zimepita na ndo imetoka, naona hamuamini kama ndo imeoka hiyo hadi mnaanzisha thread ya story zilezile. Amevuma wiki mbili na imepita hiyo, kabadili nini?,kapata nini?.. Jifunzeni kukubaliana na ukweli kila nchi ina matatizo yake.Lissu kwisha habari yake.. mnabaki CCTV,CCTV, tuseme zilifichwa, mna solution gani mkishajua hivyo?
Kwa hiyo serikali ndio ilimshambulia?? Kama ni hivyo mbona mnashindwa kutamka hadharani..COWARDS
 
Vipi anaonana lini na Trump??... Nimesema humu mara kibao, hizo hotuba zake USA hazina mpango. Zimepita na ndo imetoka, naona hamuamini kama ndo imeoka hiyo hadi mnaanzisha thread ya story zilezile. Amevuma wiki mbili na imepita hiyo, kabadili nini?,kapata nini?.. Jifunzeni kukubaliana na ukweli kila nchi ina matatizo yake.Lissu kwisha habari yake.. mnabaki CCTV,CCTV, tuseme zilifichwa, mna solution gani mkishajua hivyo?
Tuambie kwanza kuna nn kule jengo jeupe??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom