Hao unaowasema wamefika milioni 12. Aisee wewe kweli mfia chama..ungekuwa unajua idadi yao hao unaowasema au idadi ya watumishi wa umma Tanzania nzima usingezungumza hivyo..no aibuUzuri ni kuwa wananchi unaosema walimchugua Magufuli ni polisi na tiss waliobeba magobore kujeruhi na kuua mawakala wa Chadema ili kulinda madaraka yake!
Zezeta yoyote akikabidhiwa mamlaka ya kuamrisha wabeba mabunduki anaweza kuwa rais wa milele.
Kwa hiyo..Mwaka huu hakuna mgombea zaid ya Lissu ambaye angemtikisa Magu...
ata jasusi mbobezi anajua hilo...
Tahadhari, kila unachoandika kwenye maada za kisiasa huenda zikatumika kama ushahidi huko ICC hivyo tunawaasa muandike kwa hekima
ICC kwenyewe wameshawashtukia..au mnadhani hawana akili jombaTahadhari, kila unachoandika kwenye maada za kisiasa huenda zikatumika kama ushahidi huko ICC hivyo tunawaasa muandike kwa hekima
Mwenzako ameshaomba po huko VOA..Sasa wewe sijui uko wapi..umevurugwaSijasoma maana kichwa kinaonesha ni upuuzi mtupu umejaza!
Hakuna uchaguzi umefanyika bali uchafuzi!
Hahaha haya nayo maneno...chama kwishney kule..wamebaki wabunge wa vitu maalumu ambao wanapambania ili waruhusiwe waende bungeni wapate mkate wao wa kila siku..Yani sio Asset wala Liability bali ni muuaji mzuri wa chama.
Si unaona mwenyewe chama kimekufa.
Ni Kama lile sanamu la mwenyekiti wa milele mlilojipangia...ambalo Sasa nayeye hatakubali chama kimfie mikononi..lazima nayeye akitupe kukaangukie mbali kuleMlivyoshindwa kumuua mkaanza propaganda za kishamba ambazo ni wajinga tu kama wewe wanaozishadadia.
Siyo mbaya kwa kuwa kula na kunywa yenu inatokana kuabudu sanamu mlilojichongea wenyewe.
Hapa tunazungumzia gundu la Lissu alilotua nalo kwa ndege kutoka kwa jemedari Amsterdam na mabeberu...bado tunajiuliza au Lissu alitaka ku revange kwa kukiua chama ili wakose wote..maana bado haamini je zile mabunduki zilipangwa na ndani ya chama au nje...hahaha..Cuf,Act, NCcr wao gundu lao limetokana na Nani?
Nchi imeja majinga tu,
Mwache ajipe yeye ndio Rais, makamo wake Amsterdam na waziri wake mkuu Mbowe..Mbowe alisema ndani ya masaa 72 atakuwa ameukwa uwaziri mkuu..hahahaha..anacheza na wananchi Nini..Jamaa katoka Ubelgiji na propaganda zake za UN/,EU akakiteka chama na kufanya biashara zake za hovyo, sasa anajiona ni mpweke huko anaomba po arudi bongo
Posibo..mwenyekiti lakini pia Lissu..kiukweli wananchi wachache Sana wanna support lissuu..na wengi hawapo nae kwa sababu ya tabia yake ya kijinga, hajitambui, Hana busara, na hafai kuwa hata mwenyekiti wake Kijiji..wamemjaribu tu kumpa umakamu mwenyekiti wa chadema, haya kaangukia pua..Hilo lilikuwa jaribio dogo..sasa wangempa uenyekiti ndio kabisaaa hicho chama kingefutika usoni pa wanachama wao..Mwenyekiti ndio kaua chama,
Kuna mambo ya msingi yaliyosababisha chama kutokupata ushindi, cha ajabu hawayajali na kuyajadili, ila wanajificha katika mwamvuli wa "TUMEIBIWA KURA"
Kaishi marekaniCuf,Act, NCcr wao gundu lao limetokana na Nani?
Nchi imeja majinga tu,