Lissu na Mbowe wanastahili pongezi

Lissu na Mbowe wanastahili pongezi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,200
Reaction score
162,758
Katika sayansi,mwanasayansi anaegundua kitu hupewa pongezi au tuzo maalamu zikiwemo tuzo za Nobel na wakati mwingine kile kitu anachokigundua hupewa jina lake.

Kwa misingi ile ile na sababu zilezile, hapa kwetu tuna mwanasiasa anaeitwa Tundu Lissu ambae ndio alikuwa mtanzania wa kwanza kugundua kuwa kuna "udikteta uchwara" kipindi hicho watu wengi walikuwa bado hawaelewi wakiwamo hata viongozo wa dini waliokuwa wako kimya kabisa huku baadhi yao wakiwa wanamwaga sifa na pongezi kibao.

Hivi majuzi,kama ilivyo katika sayansi, ambapo mwanasayansi anaweza kuendelea kuufanyia utafiti ugunduzi wa mwanasayansi wa awali kwa lengo la kuuboresha au kutoa majibu ya maswali yanayozua utata kutokana na ugunduzi wa awali kitu ambcho hata Mbowe kakifanya majuzi kwa kuboresha ugunduzi/wazo la Lissu na kututangazia kuwa uliopo sasa ni udikteta kamili akimanisha Lissu alikuwa sahihi katika ugunduzi wake wa awali.

Kwa ugunduzi huu,naamini hawa watu wawili wanastahili pongezi(na laba tuzo) hasa Lissu ambae ndio alikuwa mgunduzi wa awali na ambae ugunduzi wake uliwaamsha wengi ambapo leo hii karibu kila mtu anakubaliana na wazo /ugunduzi wake.

Kugundua tatizo mapema ni njia mojawapo muhimu ya kulikabali au kulitatua tatizo hivyo wengi wangegundua tuna tatizo tangu awali, basi ingetusaidia sana kulikabili tangu mapema.

Napozunguzia maswa ya ugundzi wa kisayansi, wale mliosoma arts mnaweza msinielewa sana ila kwa waliosoma sayansi nadhani wengi wataniunga mkono.
 
Kesi ya dikteta uchwara ilimfanya Tundulisu aipe hadhira burudani za mahakamani
 
Yaan we unachekesha pongezi ya kukwamisha ndege? Au kuhamasisha maandamano kumuua aqwiline?
Kweli mapenzi hupofusha. Oneni alicho-comment huyu mpenzi wa Magufuli. Yaani kabisa umeamua kum-sterilize Magufuli na polisi kwa gharama ya ufahamu na ubinadamu wako?
 
Tunawatu ndani ya nchi yetu wa ajabu sana. Huyu mbowe n.a. lissu ni watu wakufungwa na naamini kabla awamu ya tano haijatoka madarakani watakuwa wamefungwa jela kwani si wakweli wala wazalendo nna ni wanafiki sana

Sitaongeza chochote baada ya maelezo haya kwenye uzi huu leo zaidi ya haya. Mwenye akili timamu afahamu haya.
 
Yaan we unachekesha pongezi ya kukwamisha ndege? Au kuhamasisha maandamano kumuua aqwiline?
Robert Mugabe wa TZ na msaliti lissu!
Yes, I guess tuzo kama hizo zaweza patikana kiulaini tu!
 
Tunawatu ndani ya nchi yetu wa ajabu sana. Huyu mbowe n.a. lissu ni watu wakufungwa na naamini kabla awamu ya tano haijatoka madarakani watakuwa wamefungwa jela kwani si wakweli wala wazalendo nna ni wanafiki sana

Sitaongeza chochote baada ya maelezo haya kwenye uzi huu leo zaidi ya haya. Mwenye akili timamu afahamu haya.
Hawa lupango ni lazima walahi!
 
Wewe mbona ni Yatima wazazi wako walimkosea nn Mungu?
 
Yaan we unachekesha pongezi ya kukwamisha ndege? Au kuhamasisha maandamano kumuua aqwiline?
Labda kwa kukusaidia , maana inaonekana kwamba hujui kusoma wala kuandika ni hivi , LISSU THE GREAT ndiye Mtanzania wa kwanza kugundua uozo wa udikteta kwenye awamu ya 5 , ambao Mbowe kwa niaba ya dunia amethibitisha wazi bila chenga yoyote .
 
Mnapongezana kwa kushirikana na watu wa nje kuchoma moto nyumba mnayoishi nyie na ndugu zenu? How stupid can you get?
 
katika nchi zingine lissu angepewa kitengo nyeti sana kusaidia taifa letu.lissu ni nabii
 
Lisu huyohuyo ndo aligundua kuwa Lowassa ni fisadi papa na baadae Mbowe akagundua kuwa anafaa kuwa rais wa Tz. Ama ndo aligundua pia kuwa JK ni rais dhaifu, na baadae akagundua kuwa ana - mmisi. Matokeo ya mgunduzi ndumilakuwili kila mwenye masikio amesikia na kila mwenye macho hatoambiwa tazama.
 
Naikumbuka kesi hii aisee ila ilishatabiliwa tutasikia na kuona mengi sana awamu hii
 
Back
Top Bottom