Lissu na Lema hawataki Mbowe atoke gerezani?

Mkuu ukiambiwa piga magoti ili mtu muhim kwako achomoke na kifo au awe salama hutopiga?,sometimes kuretreat na kujipanga upya is better kuliko kupigana vita unavyoelekea kushindwa sababu ya ego.
Hangaya na wenzake ndio wana ego!
Haiwezekani umtupe mtu ndani kwa kesi ya kubumba halafu unataka uombwe msamaha.
Lissu yupo sahihi wamwachie bila masharti
 
Umekurupuka mbonaaa
Kwani Mbowe kakosa nini tuanzie hapa kwanza
Kwa nini asamehewe kwani alikosa?
Hapa ndipo unashindwa kuelewa
Umeandika gazeti blablah nyingi
Lissu na Lema wapo sahihi 💯 Hawa wanachosema Mbowe yupo magereza kwa uonevu dhuluma chuki binafsi kigumu kuelewa hapa ni nini?

Unatengenezahabari za uzushi

Sasa ndio maana Zitto amemuambia Rais Samia amuachie kwa mujibu wa sheria na taratibu kwani mashitaka anayoshitakiwa nayo ni ya kubumba, Zitto katika hotuba yake kamwe hajasema Mbowe "ASAMEHEWE" bali kasema Mwenzetu mmoja aachiliwe (kwa maana afutiwe mashitaka), sasa kosa la Zitto lipo wapi??
 
USALITI WA VIONGOZI WA CHADEMA KWA MBOWE "HAWATAKI MBOWE ATOKE GAREZANI!"

Viongozi wa CHADEMA wanataka ruhusa ya kumpelekea MBOWE vyakula na vinywaji huko GEREZANI lakini hawataki ATOKE GEREZANI.

Mbowe ni Baba wa Familia kama wewe Lissu na Lema hammtaki ndugu jamaa na marafiki tunamtaka. Wala msitubishie maana ninyi huyo ni Mwenyekiti wenu lakini kuna Watu ni Kaka, Mjomba, Mme na BABA YAO wanataka wamuone.

Ndugu wanachama wa Chadema na Watanzania kwa ujumla, nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania!

Nikiri kuwa tangu jana nimesikitishwa sana na vitendo vya viongozi wa Chadema hasa Lissu na Lema ambao wanaongoza zoezi la kuhakikisha Freeman Mbowe (Mwenyekiti) hatoki Gerezani kwa sababu hizi hapa.

Tatizo kasema Zitto. Mara nyingi kama si mara zote CHADEMA hawajawahi kukubali kuhusu mchango wa Zitto kwao. Zitto amekua si mtu wa kulipiza visasi ndiyomaana ameonekana kuwatetea kila wanapopita magumu. Utetezi wa Zitto kwa Chadema au viongozi wake umekua ukipata nguvu na mashiko katika jamii hili linawakera sana viongozi wa Chadema maana huwa wanapoteza points tatu muhimu japo huwa ni msaada kwao. Hii yajana imekua kubwa zaidi, kwani wanashinda mtandaoni kulalama na kumzodoa Zitto. Zitto Zuberi Luyangwa Kabwe (ZZK) ni Mwenyekiti wa TCD wapende wasipende na moja ya kazi yake nikuhakikisha usawa wa Vyama Nchini unakuwepo na ustawi wa siasa safi unaendelea. Kwahiyo yeye kama Mwenyekiti wa TCD kukaa kimya juu ya Suala la Mbowe tena Mbele ya Mh Rais wakati sikuzote amekua akilipigia kelele isingewezekana. Unapoona viongozi wa CHADEMA tena wakubwa wa ngazi za juu wanamzodoa Zitto na kujifanya kwa makusudi kuwa hawafikirii kuhusu TCD ni siri kubwa inayo leta maswali juu ya upendo wao dhidi ya Mbowe. Zitto alichokifanya nikuendeleza pale CHADEMA walipoishia, mfano mara kadhaa tumewasikia wakisema na kuandika kuwa Mh Rais aingilie kati suala la Mbowe lakini Zitto anasisitiza matakwa yao wanakesha kumsigina huu siyo uungwana bali ni ukigeugeu wa kiwango cha juu kuwahi kutokea.
Hivyo tutarajie TCD wakisema kuwa wanamuomba Mh Rais amhakikishie usalama Lissu ili arudi nyumbani kama anavyotaka watageuka tena na kufokaa! Uzwazwa na Unyumbu uliokithiri. Wanachadema angalieni mkakati mchafu wa kumuangamiza Mbowe unavyoasisiwa na viongozi wenu. Niliwahi kusema na leo nitarudia kuna viongozi wa CHADEMA Mbowe akiwajua atawanyonga hadharani wamemuuza maranyingi mno. Hawa ndiyo wafitinishaji wakubwa. (John Mrema jitafakari)

Hofu ya Kuisha kwa Ukimbizi wa Kisiasa. Hili nalo linamtesa sana Mwenyekiti Mh Mbowe bila yeye kujua. Lissu na Lema tayari wameridhika kukaa nje ya nchi huku wakiongoza chama kwa watsap,facebook na twitter. Wanachofanya sasa nikuona Mbowe anaendelea kusota iliionekane Tanzania haina amani. Wanaamini Mh Rais akimsaidia Mbowe kwa Mujibu wa Sheria Dunia itaendelea kuamini kuwa amani ipo na Lissu na Lema watafutiwa ukimbizi wanahofu ya kukosa kulelelewa na hao mabwana zao. Hivyo wanamtumia Mbowe kumuumiza ili wao waendelee kula mikate na siagi huko ughaibuni, hii ni roho mbaya sana ambayo wanachadema wanapaswa kuijua. Mbowe kawekwa kama ajenda ya siri ya wao kunawili ndiyo maana hawataki kusikia anatoka maana watakosa wanachotaka. Jamani inawezekanaje leo CHADEMA wawe mstari wa mbele kumshambulia anayetaka Mbowe awe huru? Ni kweli leo Lema na Lissu wanamsahau Mbowe kwasababu ya Mkate wa kumimina huko ULAYA?
Kakosa nini Zitto? Kusema Rais amuachie Mbowe kwa Mujibu wa Sheria? Zitto tenda wema nenda zako kaka maana kuna wengine ni ma-agent wa shetani.

Juzi juzi tu ASKOFU WA CHADEMA kasema anataka Rais amuachie MBOWE tena hakusema kwa mujibu wa sheria nyumbu wote walimshangilia lakini kasema Zitto NONGWA! Au ndiyo yale yale ya Kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha?

Lissu hajawahi kaa mahabusu hata dakika 2 tu labda angejua kuwa Mbowe anahitaji kuwa uraiani.

Wanalengo la kumsingizia Mh Rais ukatili wakati wanajua kabisa anahuruma na anapenda amani na utulivu. Mh rais naomba sana wasikilize TCD achana na magimeza wasiompenda mwenzao. Familia ya Mbowe inamtaka na TCD wanamtaka mwenzao kwa dhati na dhamira ya pekee.

Vita ya Uenyekiti. Kuna vita na tamaa ya madaraka ndani ya CHADEMA hali hii inawafanya wafitini wa Mbowe wachukizwe na habari za Mbowe kutoka Gerezani. Wanatamani sana Mbowe aendelee kusota ili apoteze sifa ya Uenyekiti. Hii ni roho Mbaya kuwahi kubebwa kwenye fikra na mioyo ya Wanadamu hapa Duniani.

Kumshambulia Zitto ni kuishambulia TCD na ni kusisitiza Mbowe aendelee kukaa ndani hali ambayo haitoi picha nzuri pia inadhihirisha kwamba CHADEMA wakipewa nchi watakua MADIKTETA wabaya kuliko wengine wote. Itaendelea...

Philipo Mwakibinga
Chunya Mbeya.
0758910403
Hivi Chawa Mwakibinga bado hujaacha tu uongo ?
 
Kwani lissu na lema ndio wanaomshikilia mbowe.Kesi ya mbowe ni mbowe dhidi ya jamhuri sasa hao wengine wanahusikaje kwenye maamuzi ya jamuhuri kumuachia mbowe.Au jamhuri siku hizi inaongozwa na lissu na lema?.Hizi akili ndogo hivi mnazitoa wapi.Umeandika ujinga sana.
 
ni "kitendawili"
mkisubiri mahakama iamue watamfunga maana wamedhamiria.
Mkimuombea msamaha amefanya kosa gani?
Ila huu mpango wa kupeana kesi sio.
Haya sio maisha.
midomo ya wengi mibaya.
Kuna mmoja alitamba Sana.
Sasa hivi kalala kwao milele.tuishi kwa kupendana
RIP Magufuri alijua kupambana na mafisani sugu ya taifa , tunaona sasa hv yanavyopandisha vitu bei maana mama ni muoga ku deal nao
 
USALITI WA VIONGOZI WA CHADEMA KWA MBOWE "HAWATAKI MBOWE ATOKE GAREZANI!"

Viongozi wa CHADEMA wanataka ruhusa ya kumpelekea MBOWE vyakula na vinywaji huko GEREZANI lakini hawataki ATOKE GEREZANI.

Mbowe ni Baba wa Familia kama wewe Lissu na Lema hammtaki ndugu jamaa na marafiki tunamtaka. Wala msitubishie maana ninyi huyo ni Mwenyekiti wenu lakini kuna Watu ni Kaka, Mjomba, Mme na BABA YAO wanataka wamuone.

Ndugu wanachama wa Chadema na Watanzania kwa ujumla, nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania!

Nikiri kuwa tangu jana nimesikitishwa sana na vitendo vya viongozi wa Chadema hasa Lissu na Lema ambao wanaongoza zoezi la kuhakikisha Freeman Mbowe (Mwenyekiti) hatoki Gerezani kwa sababu hizi hapa.

Tatizo kasema Zitto. Mara nyingi kama si mara zote CHADEMA hawajawahi kukubali kuhusu mchango wa Zitto kwao. Zitto amekua si mtu wa kulipiza visasi ndiyomaana ameonekana kuwatetea kila wanapopita magumu. Utetezi wa Zitto kwa Chadema au viongozi wake umekua ukipata nguvu na mashiko katika jamii hili linawakera sana viongozi wa Chadema maana huwa wanapoteza points tatu muhimu japo huwa ni msaada kwao. Hii yajana imekua kubwa zaidi, kwani wanashinda mtandaoni kulalama na kumzodoa Zitto. Zitto Zuberi Luyangwa Kabwe (ZZK) ni Mwenyekiti wa TCD wapende wasipende na moja ya kazi yake nikuhakikisha usawa wa Vyama Nchini unakuwepo na ustawi wa siasa safi unaendelea. Kwahiyo yeye kama Mwenyekiti wa TCD kukaa kimya juu ya Suala la Mbowe tena Mbele ya Mh Rais wakati sikuzote amekua akilipigia kelele isingewezekana. Unapoona viongozi wa CHADEMA tena wakubwa wa ngazi za juu wanamzodoa Zitto na kujifanya kwa makusudi kuwa hawafikirii kuhusu TCD ni siri kubwa inayo leta maswali juu ya upendo wao dhidi ya Mbowe. Zitto alichokifanya nikuendeleza pale CHADEMA walipoishia, mfano mara kadhaa tumewasikia wakisema na kuandika kuwa Mh Rais aingilie kati suala la Mbowe lakini Zitto anasisitiza matakwa yao wanakesha kumsigina huu siyo uungwana bali ni ukigeugeu wa kiwango cha juu kuwahi kutokea.
Hivyo tutarajie TCD wakisema kuwa wanamuomba Mh Rais amhakikishie usalama Lissu ili arudi nyumbani kama anavyotaka watageuka tena na kufokaa! Uzwazwa na Unyumbu uliokithiri. Wanachadema angalieni mkakati mchafu wa kumuangamiza Mbowe unavyoasisiwa na viongozi wenu. Niliwahi kusema na leo nitarudia kuna viongozi wa CHADEMA Mbowe akiwajua atawanyonga hadharani wamemuuza maranyingi mno. Hawa ndiyo wafitinishaji wakubwa. (John Mrema jitafakari)

Hofu ya Kuisha kwa Ukimbizi wa Kisiasa. Hili nalo linamtesa sana Mwenyekiti Mh Mbowe bila yeye kujua. Lissu na Lema tayari wameridhika kukaa nje ya nchi huku wakiongoza chama kwa watsap,facebook na twitter. Wanachofanya sasa nikuona Mbowe anaendelea kusota iliionekane Tanzania haina amani. Wanaamini Mh Rais akimsaidia Mbowe kwa Mujibu wa Sheria Dunia itaendelea kuamini kuwa amani ipo na Lissu na Lema watafutiwa ukimbizi wanahofu ya kukosa kulelelewa na hao mabwana zao. Hivyo wanamtumia Mbowe kumuumiza ili wao waendelee kula mikate na siagi huko ughaibuni, hii ni roho mbaya sana ambayo wanachadema wanapaswa kuijua. Mbowe kawekwa kama ajenda ya siri ya wao kunawili ndiyo maana hawataki kusikia anatoka maana watakosa wanachotaka. Jamani inawezekanaje leo CHADEMA wawe mstari wa mbele kumshambulia anayetaka Mbowe awe huru? Ni kweli leo Lema na Lissu wanamsahau Mbowe kwasababu ya Mkate wa kumimina huko ULAYA?
Kakosa nini Zitto? Kusema Rais amuachie Mbowe kwa Mujibu wa Sheria? Zitto tenda wema nenda zako kaka maana kuna wengine ni ma-agent wa shetani.

Juzi juzi tu ASKOFU WA CHADEMA kasema anataka Rais amuachie MBOWE tena hakusema kwa mujibu wa sheria nyumbu wote walimshangilia lakini kasema Zitto NONGWA! Au ndiyo yale yale ya Kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha?

Lissu hajawahi kaa mahabusu hata dakika 2 tu labda angejua kuwa Mbowe anahitaji kuwa uraiani.

Wanalengo la kumsingizia Mh Rais ukatili wakati wanajua kabisa anahuruma na anapenda amani na utulivu. Mh rais naomba sana wasikilize TCD achana na magimeza wasiompenda mwenzao. Familia ya Mbowe inamtaka na TCD wanamtaka mwenzao kwa dhati na dhamira ya pekee.

Vita ya Uenyekiti. Kuna vita na tamaa ya madaraka ndani ya CHADEMA hali hii inawafanya wafitini wa Mbowe wachukizwe na habari za Mbowe kutoka Gerezani. Wanatamani sana Mbowe aendelee kusota ili apoteze sifa ya Uenyekiti. Hii ni roho Mbaya kuwahi kubebwa kwenye fikra na mioyo ya Wanadamu hapa Duniani.

Kumshambulia Zitto ni kuishambulia TCD na ni kusisitiza Mbowe aendelee kukaa ndani hali ambayo haitoi picha nzuri pia inadhihirisha kwamba CHADEMA wakipewa nchi watakua MADIKTETA wabaya kuliko wengine wote. Itaendelea...

Philipo Mwakibinga
Chunya Mbeya.
0758910403

Kwani mmelazimishwa au kuombwa kumshikilia? Tuanzie hapo kwanza.
 
Acha kumsingizia Lissu. Mwanasiasa pekee aliyemshambulia Rais Magufuli face to face mpaka akalimwa risasi.
Hv una ushaidi wwte Magu alimpiga risasi Lissu ?tofauti na stori za vijiweni , Waafrika tunaendeshwa na chuki sana , huyo Lissu hakuonesha ushirikiano kwa serikali na kujikita kwenye kuilaumu serikali zaidi , hv ungekuwa wewe ni Magufuri ungefanyaje kwa mtu anaejikita kwny kukulaumu zaid kuliko kukupa ushirikiano wa kumtafuta mchawi nani
 
Response ya Lissu kumuattack Zitto mitandaoni ni very unfortunate.
Zitto amesacrifice mengi ili kumend ties na CHADEMA lakini CHADEMA hawana reciprocity kwa Zitto.

Laiti Zitto asingezungumza chochote kumhusu Mbowe mbele ya rais nayo ingeonekana nongwa
 
dio

Shida ni Jambo moja. Unaombaje msamaha wakati hujafanya kosa. Pili, unamuombaje msamaha mtu aliyekuchafua wewe ni gaidi na kukuweka ndani bila dhamana.
So unahisi kuvimba kutamsaidia nini Mbowe ? yaan hapo inaitajika akili ndogo tu , ujinga wako ndo mtaji wa wengine , sio kwamba wanataka kumwachia ila wanataka ionekane walitaka kumsamehe ila akavimba so Samia anajisafisha kijanja , ila chadema wanazidi kujaa kwenye 18 ( hata kwenu ukisingiziwa na baba , unajishusha ili yaishe ujipange kwa mengineyo )
 
Hv una ushaidi wwte Magu alimpiga risasi Lissu ?tofauti na stori za vijiweni , Waafrika tunaendeshwa na chuki sana , huyo Lissu hakuonesha ushirikiano kwa serikali na kujikita kwenye kuilaumu serikali zaidi , hv ungekuwa wewe ni Magufuri ungefanyaje kwa mtu anaejikita kwny kukulaumu zaid kuliko kukupa ushirikiano wa kumtafuta mchawi nani
Huna lolote unalojua wewe,imekaa ujinga tu
 
USALITI WA VIONGOZI WA CHADEMA KWA MBOWE "HAWATAKI MBOWE ATOKE GAREZANI!"

Viongozi wa CHADEMA wanataka ruhusa ya kumpelekea MBOWE vyakula na vinywaji huko GEREZANI lakini hawataki ATOKE GEREZANI.

Mbowe ni Baba wa Familia kama wewe Lissu na Lema hammtaki ndugu jamaa na marafiki tunamtaka. Wala msitubishie maana ninyi huyo ni Mwenyekiti wenu lakini kuna Watu ni Kaka, Mjomba, Mme na BABA YAO wanataka wamuone.

Ndugu wanachama wa Chadema na Watanzania kwa ujumla, nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania!

Nikiri kuwa tangu jana nimesikitishwa sana na vitendo vya viongozi wa Chadema hasa Lissu na Lema ambao wanaongoza zoezi la kuhakikisha Freeman Mbowe (Mwenyekiti) hatoki Gerezani kwa sababu hizi hapa.

Tatizo kasema Zitto. Mara nyingi kama si mara zote CHADEMA hawajawahi kukubali kuhusu mchango wa Zitto kwao. Zitto amekua si mtu wa kulipiza visasi ndiyomaana ameonekana kuwatetea kila wanapopita magumu. Utetezi wa Zitto kwa Chadema au viongozi wake umekua ukipata nguvu na mashiko katika jamii hili linawakera sana viongozi wa Chadema maana huwa wanapoteza points tatu muhimu japo huwa ni msaada kwao. Hii yajana imekua kubwa zaidi, kwani wanashinda mtandaoni kulalama na kumzodoa Zitto. Zitto Zuberi Luyangwa Kabwe (ZZK) ni Mwenyekiti wa TCD wapende wasipende na moja ya kazi yake nikuhakikisha usawa wa Vyama Nchini unakuwepo na ustawi wa siasa safi unaendelea. Kwahiyo yeye kama Mwenyekiti wa TCD kukaa kimya juu ya Suala la Mbowe tena Mbele ya Mh Rais wakati sikuzote amekua akilipigia kelele isingewezekana. Unapoona viongozi wa CHADEMA tena wakubwa wa ngazi za juu wanamzodoa Zitto na kujifanya kwa makusudi kuwa hawafikirii kuhusu TCD ni siri kubwa inayo leta maswali juu ya upendo wao dhidi ya Mbowe. Zitto alichokifanya nikuendeleza pale CHADEMA walipoishia, mfano mara kadhaa tumewasikia wakisema na kuandika kuwa Mh Rais aingilie kati suala la Mbowe lakini Zitto anasisitiza matakwa yao wanakesha kumsigina huu siyo uungwana bali ni ukigeugeu wa kiwango cha juu kuwahi kutokea.
Hivyo tutarajie TCD wakisema kuwa wanamuomba Mh Rais amhakikishie usalama Lissu ili arudi nyumbani kama anavyotaka watageuka tena na kufokaa! Uzwazwa na Unyumbu uliokithiri. Wanachadema angalieni mkakati mchafu wa kumuangamiza Mbowe unavyoasisiwa na viongozi wenu. Niliwahi kusema na leo nitarudia kuna viongozi wa CHADEMA Mbowe akiwajua atawanyonga hadharani wamemuuza maranyingi mno. Hawa ndiyo wafitinishaji wakubwa. (John Mrema jitafakari)

Hofu ya Kuisha kwa Ukimbizi wa Kisiasa. Hili nalo linamtesa sana Mwenyekiti Mh Mbowe bila yeye kujua. Lissu na Lema tayari wameridhika kukaa nje ya nchi huku wakiongoza chama kwa watsap,facebook na twitter. Wanachofanya sasa nikuona Mbowe anaendelea kusota iliionekane Tanzania haina amani. Wanaamini Mh Rais akimsaidia Mbowe kwa Mujibu wa Sheria Dunia itaendelea kuamini kuwa amani ipo na Lissu na Lema watafutiwa ukimbizi wanahofu ya kukosa kulelelewa na hao mabwana zao. Hivyo wanamtumia Mbowe kumuumiza ili wao waendelee kula mikate na siagi huko ughaibuni, hii ni roho mbaya sana ambayo wanachadema wanapaswa kuijua. Mbowe kawekwa kama ajenda ya siri ya wao kunawili ndiyo maana hawataki kusikia anatoka maana watakosa wanachotaka. Jamani inawezekanaje leo CHADEMA wawe mstari wa mbele kumshambulia anayetaka Mbowe awe huru? Ni kweli leo Lema na Lissu wanamsahau Mbowe kwasababu ya Mkate wa kumimina huko ULAYA?
Kakosa nini Zitto? Kusema Rais amuachie Mbowe kwa Mujibu wa Sheria? Zitto tenda wema nenda zako kaka maana kuna wengine ni ma-agent wa shetani.

Juzi juzi tu ASKOFU WA CHADEMA kasema anataka Rais amuachie MBOWE tena hakusema kwa mujibu wa sheria nyumbu wote walimshangilia lakini kasema Zitto NONGWA! Au ndiyo yale yale ya Kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha?

Lissu hajawahi kaa mahabusu hata dakika 2 tu labda angejua kuwa Mbowe anahitaji kuwa uraiani.

Wanalengo la kumsingizia Mh Rais ukatili wakati wanajua kabisa anahuruma na anapenda amani na utulivu. Mh rais naomba sana wasikilize TCD achana na magimeza wasiompenda mwenzao. Familia ya Mbowe inamtaka na TCD wanamtaka mwenzao kwa dhati na dhamira ya pekee.

Vita ya Uenyekiti. Kuna vita na tamaa ya madaraka ndani ya CHADEMA hali hii inawafanya wafitini wa Mbowe wachukizwe na habari za Mbowe kutoka Gerezani. Wanatamani sana Mbowe aendelee kusota ili apoteze sifa ya Uenyekiti. Hii ni roho Mbaya kuwahi kubebwa kwenye fikra na mioyo ya Wanadamu hapa Duniani.

Kumshambulia Zitto ni kuishambulia TCD na ni kusisitiza Mbowe aendelee kukaa ndani hali ambayo haitoi picha nzuri pia inadhihirisha kwamba CHADEMA wakipewa nchi watakua MADIKTETA wabaya kuliko wengine wote. Itaendelea...

Philipo Mwakibinga
Chunya Mbeya.
0758910403
KWa Iyo tukusaidieje, maana uruma YAKO KWa Mbowe ni kubwa Sana, KULIKO Mpaka ndugu zake hata yeye binafsi
 
Back
Top Bottom