Lissu na Lema hawataki Mbowe atoke gerezani?

Mbowe akitoka kongole kwa zitto chadema wapuuzd
dio
maana CHADEMA wanakataa Mbowe asamehewe amefanya kosa gani?.

Lissu anampoteza mwenzie muda si mrefu familia ya mbowe itaenda ikulu huku Lissu kashachafua atmosphere , kuna baadhi ya mambo unabid uwe na upeo mkubwa kuyafanyia maamuzi , serikali inaeza kukusingizia kwa kuitumia mahakama na hata kununua , kuna watu wanashangilia ya Sabaya wakihis tuhuma zote za Sabaya ni za kweli , Mbowe ajifanye mjinga maana hakuna mtu atakuja kumsaidia maana kila mamlaka duniani ina uhuru wake wa ndani na haupaswi kuingiliwa so kelele za wazungu zisimdanganye , nakumbuka enzi za nyerere yupo muhuni alishikwa na akategemea ushawishi wake ungemsaidia ila alikuja kustuka baadae sn ndo akajishusha akaachiwa na kutoruhusiwa kurudi bongo

Shida ni Jambo moja. Unaombaje msamaha wakati hujafanya kosa. Pili, unamuombaje msamaha mtu aliyekuchafua wewe ni gaidi na kukuweka ndani bila dhamana.
 
USALITI WA VIONGOZI WA CHADEMA KWA MBOWE "HAWATAKI MBOWE ATOKE GAREZANI!"

Viongozi wa CHADEMA wanataka ruhusa ya kumpelekea MBOWE vyakula na vinywaji huko GEREZANI lakini hawataki ATOKE GEREZANI.

Mbowe ni Baba wa Familia kama wewe Lissu na Lema hammtaki ndugu jamaa na marafiki tunamtaka. Wala msitubishie maana ninyi huyo ni Mwenyekiti wenu lakini kuna Watu ni Kaka, Mjomba, Mme na BABA YAO wanataka wamuone.

Ndugu wanachama wa Chadema na Watanzania kwa ujumla, nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania!

Nikiri kuwa tangu jana nimesikitishwa sana na vitendo vya viongozi wa Chadema hasa Lissu na Lema ambao wanaongoza zoezi la kuhakikisha Freeman Mbowe (Mwenyekiti) hatoki Gerezani kwa sababu hizi hapa.

Tatizo kasema Zitto. Mara nyingi kama si mara zote CHADEMA hawajawahi kukubali kuhusu mchango wa Zitto kwao. Zitto amekua si mtu wa kulipiza visasi ndiyomaana ameonekana kuwatetea kila wanapopita magumu. Utetezi wa Zitto kwa Chadema au viongozi wake umekua ukipata nguvu na mashiko katika jamii hili linawakera sana viongozi wa Chadema maana huwa wanapoteza points tatu muhimu japo huwa ni msaada kwao. Hii yajana imekua kubwa zaidi, kwani wanashinda mtandaoni kulalama na kumzodoa Zitto. Zitto Zuberi Luyangwa Kabwe (ZZK) ni Mwenyekiti wa TCD wapende wasipende na moja ya kazi yake nikuhakikisha usawa wa Vyama Nchini unakuwepo na ustawi wa siasa safi unaendelea. Kwahiyo yeye kama Mwenyekiti wa TCD kukaa kimya juu ya Suala la Mbowe tena Mbele ya Mh Rais wakati sikuzote amekua akilipigia kelele isingewezekana. Unapoona viongozi wa CHADEMA tena wakubwa wa ngazi za juu wanamzodoa Zitto na kujifanya kwa makusudi kuwa hawafikirii kuhusu TCD ni siri kubwa inayo leta maswali juu ya upendo wao dhidi ya Mbowe. Zitto alichokifanya nikuendeleza pale CHADEMA walipoishia, mfano mara kadhaa tumewasikia wakisema na kuandika kuwa Mh Rais aingilie kati suala la Mbowe lakini Zitto anasisitiza matakwa yao wanakesha kumsigina huu siyo uungwana bali ni ukigeugeu wa kiwango cha juu kuwahi kutokea.
Hivyo tutarajie TCD wakisema kuwa wanamuomba Mh Rais amhakikishie usalama Lissu ili arudi nyumbani kama anavyotaka watageuka tena na kufokaa! Uzwazwa na Unyumbu uliokithiri. Wanachadema angalieni mkakati mchafu wa kumuangamiza Mbowe unavyoasisiwa na viongozi wenu. Niliwahi kusema na leo nitarudia kuna viongozi wa CHADEMA Mbowe akiwajua atawanyonga hadharani wamemuuza maranyingi mno. Hawa ndiyo wafitinishaji wakubwa. (John Mrema jitafakari)

Hofu ya Kuisha kwa Ukimbizi wa Kisiasa. Hili nalo linamtesa sana Mwenyekiti Mh Mbowe bila yeye kujua. Lissu na Lema tayari wameridhika kukaa nje ya nchi huku wakiongoza chama kwa watsap,facebook na twitter. Wanachofanya sasa nikuona Mbowe anaendelea kusota iliionekane Tanzania haina amani. Wanaamini Mh Rais akimsaidia Mbowe kwa Mujibu wa Sheria Dunia itaendelea kuamini kuwa amani ipo na Lissu na Lema watafutiwa ukimbizi wanahofu ya kukosa kulelelewa na hao mabwana zao. Hivyo wanamtumia Mbowe kumuumiza ili wao waendelee kula mikate na siagi huko ughaibuni, hii ni roho mbaya sana ambayo wanachadema wanapaswa kuijua. Mbowe kawekwa kama ajenda ya siri ya wao kunawili ndiyo maana hawataki kusikia anatoka maana watakosa wanachotaka. Jamani inawezekanaje leo CHADEMA wawe mstari wa mbele kumshambulia anayetaka Mbowe awe huru? Ni kweli leo Lema na Lissu wanamsahau Mbowe kwasababu ya Mkate wa kumimina huko ULAYA?
Kakosa nini Zitto? Kusema Rais amuachie Mbowe kwa Mujibu wa Sheria? Zitto tenda wema nenda zako kaka maana kuna wengine ni ma-agent wa shetani.

Juzi juzi tu ASKOFU WA CHADEMA kasema anataka Rais amuachie MBOWE tena hakusema kwa mujibu wa sheria nyumbu wote walimshangilia lakini kasema Zitto NONGWA! Au ndiyo yale yale ya Kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha?

Lissu hajawahi kaa mahabusu hata dakika 2 tu labda angejua kuwa Mbowe anahitaji kuwa uraiani.

Wanalengo la kumsingizia Mh Rais ukatili wakati wanajua kabisa anahuruma na anapenda amani na utulivu. Mh rais naomba sana wasikilize TCD achana na magimeza wasiompenda mwenzao. Familia ya Mbowe inamtaka na TCD wanamtaka mwenzao kwa dhati na dhamira ya pekee.

Vita ya Uenyekiti. Kuna vita na tamaa ya madaraka ndani ya CHADEMA hali hii inawafanya wafitini wa Mbowe wachukizwe na habari za Mbowe kutoka Gerezani. Wanatamani sana Mbowe aendelee kusota ili apoteze sifa ya Uenyekiti. Hii ni roho Mbaya kuwahi kubebwa kwenye fikra na mioyo ya Wanadamu hapa Duniani.

Kumshambulia Zitto ni kuishambulia TCD na ni kusisitiza Mbowe aendelee kukaa ndani hali ambayo haitoi picha nzuri pia inadhihirisha kwamba CHADEMA wakipewa nchi watakua MADIKTETA wabaya kuliko wengine wote. Itaendelea...

Philipo Mwakibinga
Chunya Mbeya.
0758910403
Wao wanapakatwa huko kwa nini hawaji Ili waingie selo na wawe mashujaa?
 
Mbowe akitoka kongole kwa zitto chadema wapuuzi
Na hichi ndicho Zitto anataka kwamba Mbowe ametoka kwa sababu yangu. Zitto ni mtu wa fursa, hana Nia njema ila anataka aje apate faida ya kisiasa. Mtu sahihi wa kuomba msamaha walikuwa Viongozi wa CHADEMA sio Zitto. Hakuna Cha msamaha mbowe aachiwe bila masharti sijui ya heshima na vitu vingine.
 
Philipo Mwakibinga Chunya.Unataka KUB asamehe kwani alifanya crime gani??????
 
Jombaa nahisi uwezo wako wa kufikiria umefikia kikomo, hawataki vipi asitoke lupango wakati wimbo wao siku zote ni DPP afute mashitaka ya kubumba bila masharti hakuna story za kusamehewa, asamehewe kwa kosa lipi unaloliona wewe? nguvu uliyoitumia kuandaa na kuandika chapisho lako ungeweza kuitumia kwenye shughuli za uzalishaji mali.
 
..anayeleta ubabe si Maza na CCM?

..si ndio walimkamata Mbowe na kumfungulia kesi ya kubumba?

Yes coz mbowe alikuwa anafanya mambo bila kufata sheria na mwisho wake ingekuwa ni madhara kwenye inchi
 
Mbowe kakwambia anaumia? Mbowe kama anataka kutoka kwa msamaha kwa nini sasa serikali inatumia too much power ku-nfluence familia wamshawishi akubali kuomba msamaha? This is non-sense

Ameshaomba na yy ndio alimtuma mjumbe Kwa mangula, naona ww ujui vitu
 
Yes coz mbowe alikuwa anafanya mambo bila kufata sheria na mwisho wake ingekuwa ni madhara kwenye inchi

..kuitisha kongamano kujadili katiba mpya sio kuvunja sheria.

..na katiba mpya lengo lake ni kuboresha mfumo wa utawala tulio nao.

..katiba mpya na bora haiwezi kuwa na madhara kwa nchi yetu.

..hata Tanu na Ccm waliwahi kuandika katiba mbona hakujawahi kuwa na madhara?
 
Umekurupuka mbonaaa
Kwani Mbowe kakosa nini tuanzie hapa kwanza
Kwa nini asamehewe kwani alikosa?
Hapa ndipo unashindwa kuelewa
Umeandika gazeti blablah nyingi
Lissu na Lema wapo sahihi [emoji817] Hawa wanachosema Mbowe yupo magereza kwa uonevu dhuluma chuki binafsi kigumu kuelewa hapa ni nini?

Unatengenezahabari za uzushi
Vipi ikija kujulikana kuwa ni kweli mbowe aliajili makomandoo ili kuwashughulikia watu waliomharibia maisha, kama kumfeexia account zake, kumnyanganya bilicana, kumfillisi, etc,,
Hizo ni motives za kutosha kabisa,
 
Acha kudemka na maelezo mengi yasiyojenga hoja,Mh.Mbowe ni suspect na hajahukumiwa means ana haki zote kama mimi na wewe na alistahili awe na dhamana,tatizo tunaishi kwenye nchi yenye udikiteta Mh.Mbowe yupo jela wakati hawezi kimbia kesi;na ni Mahakama pekee itakayoamua sio no 1
Sheria ya ugaidi haina dhamana..
 
..kuitisha kongamano kujadili katiba mpya sio kuvunja sheria.

..na katiba mpya lengo lake ni kuboresha mfumo wa utawala tulio nao.

..katiba mpya na bora haiwezi kuwa na madhara kwa nchi yetu.

..hata Tanu na Ccm waliwahi kuandika katiba mbona hakujawahi kuwa na madhara?

Yes ni kuvunja sheria coz mamlaka walishamwambia asifanye na yy akafanya
 
USALITI WA VIONGOZI WA CHADEMA KWA MBOWE "HAWATAKI MBOWE ATOKE GAREZANI!"

Viongozi wa CHADEMA wanataka ruhusa ya kumpelekea MBOWE vyakula na vinywaji huko GEREZANI lakini hawataki ATOKE GEREZANI.

Mbowe ni Baba wa Familia kama wewe Lissu na Lema hammtaki ndugu jamaa na marafiki tunamtaka. Wala msitubishie maana ninyi huyo ni Mwenyekiti wenu lakini kuna Watu ni Kaka, Mjomba, Mme na BABA YAO wanataka wamuone.

Ndugu wanachama wa Chadema na Watanzania kwa ujumla, nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania!

Nikiri kuwa tangu jana nimesikitishwa sana na vitendo vya viongozi wa Chadema hasa Lissu na Lema ambao wanaongoza zoezi la kuhakikisha Freeman Mbowe (Mwenyekiti) hatoki Gerezani kwa sababu hizi hapa.

Tatizo kasema Zitto. Mara nyingi kama si mara zote CHADEMA hawajawahi kukubali kuhusu mchango wa Zitto kwao. Zitto amekua si mtu wa kulipiza visasi ndiyomaana ameonekana kuwatetea kila wanapopita magumu. Utetezi wa Zitto kwa Chadema au viongozi wake umekua ukipata nguvu na mashiko katika jamii hili linawakera sana viongozi wa Chadema maana huwa wanapoteza points tatu muhimu japo huwa ni msaada kwao. Hii yajana imekua kubwa zaidi, kwani wanashinda mtandaoni kulalama na kumzodoa Zitto. Zitto Zuberi Luyangwa Kabwe (ZZK) ni Mwenyekiti wa TCD wapende wasipende na moja ya kazi yake nikuhakikisha usawa wa Vyama Nchini unakuwepo na ustawi wa siasa safi unaendelea. Kwahiyo yeye kama Mwenyekiti wa TCD kukaa kimya juu ya Suala la Mbowe tena Mbele ya Mh Rais wakati sikuzote amekua akilipigia kelele isingewezekana. Unapoona viongozi wa CHADEMA tena wakubwa wa ngazi za juu wanamzodoa Zitto na kujifanya kwa makusudi kuwa hawafikirii kuhusu TCD ni siri kubwa inayo leta maswali juu ya upendo wao dhidi ya Mbowe. Zitto alichokifanya nikuendeleza pale CHADEMA walipoishia, mfano mara kadhaa tumewasikia wakisema na kuandika kuwa Mh Rais aingilie kati suala la Mbowe lakini Zitto anasisitiza matakwa yao wanakesha kumsigina huu siyo uungwana bali ni ukigeugeu wa kiwango cha juu kuwahi kutokea.
Hivyo tutarajie TCD wakisema kuwa wanamuomba Mh Rais amhakikishie usalama Lissu ili arudi nyumbani kama anavyotaka watageuka tena na kufokaa! Uzwazwa na Unyumbu uliokithiri. Wanachadema angalieni mkakati mchafu wa kumuangamiza Mbowe unavyoasisiwa na viongozi wenu. Niliwahi kusema na leo nitarudia kuna viongozi wa CHADEMA Mbowe akiwajua atawanyonga hadharani wamemuuza maranyingi mno. Hawa ndiyo wafitinishaji wakubwa. (John Mrema jitafakari)

Hofu ya Kuisha kwa Ukimbizi wa Kisiasa. Hili nalo linamtesa sana Mwenyekiti Mh Mbowe bila yeye kujua. Lissu na Lema tayari wameridhika kukaa nje ya nchi huku wakiongoza chama kwa watsap,facebook na twitter. Wanachofanya sasa nikuona Mbowe anaendelea kusota iliionekane Tanzania haina amani. Wanaamini Mh Rais akimsaidia Mbowe kwa Mujibu wa Sheria Dunia itaendelea kuamini kuwa amani ipo na Lissu na Lema watafutiwa ukimbizi wanahofu ya kukosa kulelelewa na hao mabwana zao. Hivyo wanamtumia Mbowe kumuumiza ili wao waendelee kula mikate na siagi huko ughaibuni, hii ni roho mbaya sana ambayo wanachadema wanapaswa kuijua. Mbowe kawekwa kama ajenda ya siri ya wao kunawili ndiyo maana hawataki kusikia anatoka maana watakosa wanachotaka. Jamani inawezekanaje leo CHADEMA wawe mstari wa mbele kumshambulia anayetaka Mbowe awe huru? Ni kweli leo Lema na Lissu wanamsahau Mbowe kwasababu ya Mkate wa kumimina huko ULAYA?
Kakosa nini Zitto? Kusema Rais amuachie Mbowe kwa Mujibu wa Sheria? Zitto tenda wema nenda zako kaka maana kuna wengine ni ma-agent wa shetani.

Juzi juzi tu ASKOFU WA CHADEMA kasema anataka Rais amuachie MBOWE tena hakusema kwa mujibu wa sheria nyumbu wote walimshangilia lakini kasema Zitto NONGWA! Au ndiyo yale yale ya Kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha?

Lissu hajawahi kaa mahabusu hata dakika 2 tu labda angejua kuwa Mbowe anahitaji kuwa uraiani.

Wanalengo la kumsingizia Mh Rais ukatili wakati wanajua kabisa anahuruma na anapenda amani na utulivu. Mh rais naomba sana wasikilize TCD achana na magimeza wasiompenda mwenzao. Familia ya Mbowe inamtaka na TCD wanamtaka mwenzao kwa dhati na dhamira ya pekee.

Vita ya Uenyekiti. Kuna vita na tamaa ya madaraka ndani ya CHADEMA hali hii inawafanya wafitini wa Mbowe wachukizwe na habari za Mbowe kutoka Gerezani. Wanatamani sana Mbowe aendelee kusota ili apoteze sifa ya Uenyekiti. Hii ni roho Mbaya kuwahi kubebwa kwenye fikra na mioyo ya Wanadamu hapa Duniani.

Kumshambulia Zitto ni kuishambulia TCD na ni kusisitiza Mbowe aendelee kukaa ndani hali ambayo haitoi picha nzuri pia inadhihirisha kwamba CHADEMA wakipewa nchi watakua MADIKTETA wabaya kuliko wengine wote. Itaendelea...

Philipo Mwakibinga
Chunya Mbeya.
0758910403
Nimesoma heading tu nikahisi harufu mbaya ya uozo

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom