Lissu na CHADEMA walipoonya kuwa hakuna alie salama,haya hapa ndio waliomanisha

Mkuu hakuna cha ukibaraka wala nini
Hata mimi nilikuwa nashabikia chadema lakini kile walichofanya 2015 nimeachana kabisa na ushabiki wa vyama.
Siku mtakapojitambua na kuacha kupelekeshwa ndio utakuwa mwisho wa ccm
Ila mkiwa hivi mnapelekeshwa mara lowassa mara membe upinzani hautakuja fanikiwa kamwe
Hawa ni vibaraka wanufaika wa huu utawala hivyo wao kila kitu kwao ni sawa tu yakiwemo yale ya kijinga na ya kipuuzi yanayoendelea hivyo tuwapuuze tu.
 
Mkuu hakuna cha ukibaraka wala nini
Hata mimi nilikuwa nashabikia chadema lakini kile walichofanya 2015 nimeachana kabisa na ushabiki wa vyama.
Siku mtakapojitambua na kuacha kupelekeshwa ndio utakuwa mwisho wa ccm
Ila mkiwa hivi mnapelekeshwa mara lowassa mara membe upinzani hautakuja fanikiwa kamwe
Hata nimeshindwa ni like au ni dislike
 
Ukweli ni ukweli tu. Tunakoenda sio salama. Waswahili hutuambia "Kipenda roho hula nyama mbichi". Sijui walimaanisha nini? Tuliichezea fursa yetu ya kuunda katiba mpya ambayo ingetuwekea nidhamu ya aina Fulani.(Kama tungekuwa waaminifu).
 
KWA MARA NYINGINE NATOA WITO KWA SERIKALI MTAFUTENI HUYU NGURUMO FANYENI "LOLOTE" KUMNYAMAZISHA MANA KUNA JEURI ANAIPATA MAHALI FLANI KWA MANUFAA YA TUMBO LAKE ANASHAWISHI NA KULETA UCHOCHEZI

MY DEAR GOVERNMENT DO SOMETHING TO THIS MAN PLEASE....
 
Nisahihi sheria ipitishwe kudhibiti makanisa na vikundi vya dini,yako maupuuzi mengi sana humo kuanzia madawa,ushoga,ushetani,u'frimaso' na upuuzi wa kila namna. Kwa imani inayojielewa sheria hii sio tishio kabisa Ila yale makanisa uchwara ambamo hata nabii Tito alitaka kuleta lake yafutwe na yapotelee kuzimu katika jina la Yesu was Nazareth I.
Tusipinge kilakitu wahuni wanatumia mgongo wa dini kuhujumu nchi,kujitajirisha kupitiliza na kuingiza ushetani nchini!
Kuna kakijana flani kanagawaga hela na kutabiria watu saivi kanadai kanaponya na HIV aids kajinga sana,kaliulizwa kanatoa wapi hela eti kanasema kanaeza omba pesa zikaongezeka tu kwenye a/c crdb,Mara kanadili na madini lkn hakataki serikali ikajue!! Sasa haka si kahujumu uchumi nasasa kanahangaika kujenga kanisa!!! Video zipo YouTube sijui takukuru wanakagwaya mi ningekua takukuru ningekanyoosha kwakweli.
 
Kwani hao wanaotukanwa huko na musiba ni nani,si ni ccm ndo safi ili kila mtu aonje raha ya kishindo cha awamu ya tano
 
Back
Top Bottom