Lissu: Mwenyekiti wa Parole alipaswa awe Jaji au aliwahi kuwa jaji

Mkuu amesema msema ukweli ni kipenzi cha Mungu kama few days a go alikubali hawakujua waziri mkuu ndio sijui nani katika kupambana na madawa ya kulevya
Maskini ugali wa mrema huko mashakani maana msema ukweli akibaini waziri kivuli wa sheria hayesemayo ni ya ukweli mrema jiandae kutumbuliwa usubiri kurudi bungeni kupitia huruma ya rais atapokuteua kuwa mbunge.
 
Kuna watu huwa wanakurupuka tu.....
Huyo hata umwelekeze akili yake ameshaibinafsisha kutetea chochote

"QUOTE="Say no to actors, post: 19862275, member: 380100"]Soma vizuri mada pale juu then mwishoni Kuna attached copy ya. SHERIA husika. Ukishamaliza kusoma na kuelewa futa upuuzi wako kwani inavyoonekana vijana wa Lumumba Ni wazembe WA kusoma na huwa wanaanza comments pasipokujua mada.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom