Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Kwa mujibu wa sheria namba 25 ya 1994 iliyotiwa sahihi na Rais tarehe 17 Januari 1995, sehemu ya pili ukurasa 236 kifungu cha 2(a) kinataja uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa.
"The National Parole Board shall consist of the Chairman who shall be a person vested with knowledge and xperience in legal matters or in administration of criminal justice, and who shall be appointed by the President".
Tafsiri:
Bodi ya Kitaifa ya Parole itajumuisha na Mwenyekiti ambaye atakuwa mtu mwenye ujuzi na uzoefu wa masuala ya kisheria au usimamiaji wa masuala ya jinai na atateuliwa na Rais.
Kifungu cha 3(a) kinazungumzia teuzi za Wenyeviti wa Bodi za Mikoa:
The Regional Parole Board shall consist of the Chairman who shall be appointed by the Minister and who is vested with knowledge and experience in legal matters or in administration or criminal justice.
Tafsiri:
Bodi ya Parole ya Mkoa itajumuisha na Mwenyekiti ambaye atateuliwa na Waziri na ambaye atakuwa mtu mwenye ujuzi na uzoefu wa masuala ya kisheria au usimamiaji wa masuala ya jinai.
hahahaaaaaa zaid ya kuita press conference .....Mungu namwomba anipe tu uzima jaman 2020 tutajionea mapya walahduuuh kumbe mrema yupo kimakosa pale ila awamu hii mtukuuuuuuuuuuuf hakosei kwaiyo kapatia kabisa
pia mbinu mnayotumia chadema ya kuwatetea watu ili wajiunge na chama chenu ni nzuri aisee iyo nizaid ya kampen na mikutano ya wazi
Naam. Na Mrema ATASEMA. Alishawahi KUMPOKEA Mgombea mmoja wa Uraisi pale Njia panda ya Himo. Akasema: kura sa Ubunge nipeni mimi. Sa urahisi mupeni huyu, Yesuuuu! Yeye alizikosa, lakini sasa kapewa nafasi iliyomstahili Jaji ama Jaji mstahafu....Wote waseme lakini hata mrema?
Kwa sheria namba ngapi aliyovunja?Mbona magufuli kavunja sheria kumteua mrema watu wako kimya?
Kwa sheria namba ngapi aliyovunja?
Au kwa kuambiwa na Losuu vijana wa ufipa mnaufyata?
Hio ndio sheria ambayo Magufuli kavunja?Kaimu jaji mkuu jina kaandika kwa pencel akizingua linafutwa fasta.
Wapi nimeandika hayo?Hio ndio sheria ambayo Magufuli kavunja?