Kwani huyu Lissu ndiye alikutoa usichana wako dada halafu akakupiga chini? Mbona una hasira naye sana? Kwani K yako si amekuachia tafuta mwanaume mwingine utibu jeraha lako dada Mariam,sawa sawa?
Wana harakati uchwara wamemuingiza chaka kamanda wetu.
Ana muda mchache sana wa kujirudi - kupambana na jemedali mzee wa anga ni lazima ukipange mzee - utaishia kusema ooh kahonga wajumbe wote.
Mwamba tuvushe ipo live chief ni suala la tarehe tu...tupo live.