Mungu wetu wa Upendo awalinde na kuwahifadhi
Lissu yuko informed vizuri sana kama ulikua hujui! Wengi waliexpect around April Lissu angerudi Tanzania ila haijawa hivyo ! Hata nchi aishiyo ndio sebule ya wale jamaa pia ni makao makuu ya Jumuiya ya Ulaya
Lissu alikua ni mtu wa kwanza pia kutoa breaking news ya kuhusu whereabouts za jiwe !
Kupitia hivyo niliona wazi sio watu wote waliokuwemo huko mjengoni walifurahishwa/ wanafurahishwa na yaliyokuwa na yanayoendelea!
Ndio maana naamini upinzani au utofauti wa kimawazo sio lazima vionekane wazi ila vina nguvu ya ajabu
Kuhusu Maria sifahamu sana last time nilisikia anaishi Uhabeshi (ukweni) napo sio kwa kitoto kujipenyeza ni makao makuu mengine ya jumuiya.
Wahuni huwa wanafuata amriThe Killer Magu aliondoka kaacha wahuni kibao.
Wachamungu vinywa vilevile vinavyonyonyea nyuchi ndo hivyohivyo hutumika kumuomba mungu"Wacha Mungu wapigapo magoti wakamlilia yeye, bwana hutenda." -- Askofu Shoo.
Wachamungu vinywa vilevile vinavyonyonyea nyuchi ndo hivyohivyo hutumika kumuomba mungu
Unachoona ni siasa tu na upinzani.. Unadhani kila mtu ni juha wa wanasiasa!!!?... Inanihusisha vipi na hayo uliyoandika ikiwa sikuandika na yanayohusiana na uliyoandikaKwa sababu Yesu hata alisema hakuja kwa ajili yenu ninyi mlio wasafi wa ghiliba huku mkitokomea na kina Lijenje, Urio, Malema, Azory, Ben na wenzao kusikojulikana.
Wasafi wa ghiliba huku mkitesa watu na kuwabambikizia kesi.
Enyi wasafi wa ghiliba mlio jipa jukumu la kusokomeza watu kwenye viroba.
Wasafi wa ghiliba nyie ni heri ya ibilisi mwenyewe!
Namheshimu na kumpenda shangazi Maria hadi naumwa🥰
Mungu muongezee miaka mingi na heri Duniani Shangazi Maria.
View attachment 2054889
Aliyepiga push up na kumuona ni mzima ameshakuwa chakula chá mafunza.Nani anashida ma wagonjwa wale
USSR
Ila magu alikuwa ni msanii sana. Sijui alitaka kumprove Lowasa??😅😅Aliyepiga push up na kumuona nimzima ameshakuwa chakula chá mafunza.
Kejeli zako zisikufanye kuwa na kibri kesho yako huijui.
Aliyepiga push up na kumuona nimzima ameshakuwa chakula chá mafunza.
Kejeli zako zisikufanye kuwa na kibri kesho yako huijui.
Ila magu alikuwa ni msanii sana. Sijui alitaka kumprove Lowasa??😅😅
Akaja kuangukia Chato pitWalisema ajidhaniaye amesimama ..
Akaja kuangukia Chato pit