Nani anashida ma wagonjwa waleBaada ya kupata wasaa wa kutosha kuzisikiliza hoja zote kutoka Maria Space aliyojumuika pia Mh. CJ:
Jaji Mkuu alijumuika Maria Space Dec.20
Yafuatao ni maoni yangu:
1. Kwa weledi, ufahamu na kujitoa kwake, Mh. Lissu ni mtu muhimu sana kwa nchi hii.
2. Maria Sarungi kwa uwezeshaji wake ni kiungo muhimu sana kwa Tanzania mpya ambayo wengi wetu tungependa kuiishi.
3. Ni wazi kuwa watu kama hawa kama aitavyo beberu ni "High Valued Targets" (HTV) kwa watesi wetu.
Ikumbukwe Mh. Lissu alikwisha nusurika jaribio dhidi ya maisha yake. Kudhani kuwa yalikwisha pita itakuwa ni kujidanganya "big time."
Kuna jirani zetu wenye ka kufanana na sisi zao ni kuwawinda wapinzani wao kokote waliko na hasa kwenye sikukuu kama hizi za mwishoni mwa miaka.
Chonde chonde wakubwa.
Siyo siri, tukipigwa hawa tutakuwa na hali mbaya.
Mungu wetu wa Upendo awalinde na kuwahifadhiBaada ya kupata wasaa wa kutosha kuzisikiliza hoja zote kutoka Maria Space aliyojumuika pia Mh. CJ:
Jaji Mkuu alijumuika Maria Space Dec.20
Yafuatao ni maoni yangu:
1. Kwa weledi, ufahamu na kujitoa kwake, Mh. Lissu ni mtu muhimu sana kwa nchi hii.
2. Maria Sarungi kwa uwezeshaji wake ni kiungo muhimu sana kwa Tanzania mpya ambayo wengi wetu tungependa kuiishi.
3. Ni wazi kuwa watu kama hawa kama aitavyo beberu ni "High Valued Targets" (HTV) kwa watesi wetu.
Ikumbukwe Mh. Lissu alikwisha nusurika jaribio dhidi ya maisha yake. Kudhani kuwa yalikwisha pita itakuwa ni kujidanganya "big time."
Kuna jirani zetu wenye ka kufanana na sisi zao ni kuwawinda wapinzani wao kokote waliko na hasa kwenye sikukuu kama hizi za mwishoni mwa miaka.
Chonde chonde wakubwa.
Siyo siri, tukipigwa hawa tutakuwa na hali mbaya.
The Killer Magu aliondoka kaacha wahuni kibao.Nani anashida ma wagonjwa wale
USSR
Nani anashida ma wagonjwa wale
USSR
Nani anashida ma wagonjwa wale
USSR
Chama Cha Mumiani
The Killer Magu aliondoka kaacha wahuni kibao.
Kama inasemekana system ndio ina wa target na sio viongozi, muhimu ulinzi wao uimarishwe japo sidhani kama watapenda kuichafua image ya nchi kwa kuwafanyia anything bad.
Anayetaka kukudhuru atakudhuru tuu hata uwe na ulinzi mkubwa. Cha kufanya ni kumdhuru anayetaka kukudhuru kabla ya yeye hajakudhuru. Ndiyo maana Wayahudi kwenye kitabu chao cha Talmud huwa wanasema "if someone comes to kill you, rise up and kill him first" ukisubiri au useme ujiongezee ulinzi utachelewa.
Umewaza kijasusi ispokuwa wa kwetu hawana huo uwezo. Ingawa pesa haishindwi kituKuna jirani mshirika wao kindaki ndaki huwa hajali mahusiano yake na nchi nyingine kwenye operation nyakua nyakua zake.
Kwa kitimtim anachowapelekesha "no wonder" Juma na Mustafa walikuwa "in attendance."
Huwa hawachelewi kusema "the target is worth the risk."
Kumbuka Kashoogi alikatwa katwa kwa msumeno kwenye ofisi ya ubalozi ndani ya mji mkuu wa nchi nyingine.
Hawa? Siyo watu wazuri.
Hili halita waacha salama Kingai Mahita na gengelao mpaka dunia igeukeTungekuwa hatujui kuwa kumbe huwa ni kazi yenu.
Wako wapi kina Lijenje, Urio na angalau Malema si mmetajwa mlikuwa nao?
Nani mliwaweka kwenye viroba?
Mungu anashida na wagonjwa,Shetani anashida na wazima.Nani anashida ma wagonjwa wale
USSR
Umewaza kijasusi ispokuwa wa kwetu hawana huo uwezo. Ingawa pesa haishindwi kitu