Lissu kama Lema?

Status
Not open for further replies.
I didn't know ..when did Lissu become the MP of Arusha or do you mean the court is shifting and the ruling will be read from Arusha??
Acha tabia ya kubandika maneno yako kwa wengine. Una-edit na kujikosoa mwenyewe!
 
Wewe Rejao, ungekuwa unafahamika vema kwa watu walio wengi, tungekufanya MISHIKAKI, Kama ilivyokuwa katika vita vya ukombozi msumbiji. Waulize Wareno walivyoku wanatafunwa na akina Marehemu Samora na wapiganaji wenzake! Ipo siku yatakufika na mzaha wako huo.
 
Hatupo sawa mkuu, kila mtu kuna anachokiamini. From nowher huwezi nilazimisha niipende CDM kisa et na wewe unaipenda.
 
Hatupo sawa mkuu, kila mtu kuna anachokiamini. From nowher huwezi nilazimisha niipende CDM kisa et na wewe unaipenda.

kweli kabisa mkuu kila mtu ana choise yake
 
Moto wa mafuta hauzimwi na maji.

CCM wanasambaza moto na kuongeza chuki kwa wananchi
 
ccm na mahakama zenu mtalaaniwa kwani soon hii hali itasababisha umwagaji damu mkubwa
 
Duh Lissu naye anavuliwa? Huyu wangempeleka kwenye Tume ya Katiba
 

mKUU usijibu tu majibu ya dharau simply because you suport CCM, ninajua unajua kwamba HATA Trayvon Martin, rodney king, Martin Luther King etc were insignificant and junks a few minutes before thir murders or tortures....

nothing is insignificant in politics especially in a desperate society

Take it from me, Godbless Lema would be very ordinary kama sio kumvua ubunge, and that is my point

Frrapa... a simple term in a small west africa country meant a lot when the insignifcant got significant

OUR TASK IS TO THINK OUTSIDE THE BOX MKUU

This of a housegirl who is always obedient, we belittle her, but when she runs riot, we go insane because of our kids

ANYWAY, IF UBUNGE IS NOT INTERESTING, WHY IS CCM SPENDING BILLIONS ROBBING BACK THE SEATS??
 
ni kweli wewe hufahamiki kabisa, mimi niliyesoma ilboru na tabora ndio nafahamika
 
Tutapambana na magamba hadi tone la mwisho la damu.
 
Hahahah..umenifurahisha sana. Am happy kufahamu kuwa upo nje ya TZ.Njia yako ya kutufikishia ujumbe kuwa upo abroad nimeikubali. Ujumbe umefika....

Rejao anasikika kikazi zaidi. Inawezekana leo amepewa shift ya usiku. Kazi zingine!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…