Mathayo Fungo
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 320
- 515
Alitamka mwenyewe Lisu kwa kinywa chakePROPA...…………………………………………..GANDA!
Kodi ikiwa ndogo, kodi rafiki kila mmoja huilipa lakini kodi za CCM ni kubwa mno ndizo zimepelekea ukwepaji kodi hasa kwa wanaccm ambao wengi si walipa kodi lakini CCM huutumia pesa ya walipa kodi watanzania wote ambao siyo CCM kudidimiza demokrasia.Wenye maduka karibu wote wamekuwa wamachinga. Kodi za pango hazilipiki watu wameamua bora wamwage bidhaa nje tuu.
Sasa kamanda kasema ataweka mazingira rafiki kwa hao wafanyabiashara ili warudi kwenye fremu zao kama mwanzo, kuna ubaya hapo?
Nadhani ww ni mmachinga hewa, huezi elewa situations waliyonayo.
Unforgetable
CCM wanajua kutafuna kodi tu lakini wao hawalipi kodiMachinga wamekuwa kero Magufuli amejifanya mfuata sheria lakini kwa hili la kila mtanzania kuwa Machinga hakika ni hatari
Serikali inapoteza mapato mengi Sana ya Kodi kwa kuruhusu kila mtanzania kuwa Machinga.
Tundu na chama chake hawawajui watanzania wala hawajui watanzania wanataka nini....Machinga huwafuata wateja waliko Lisu anataka kuwalazimisha wafungue maduka wasitembee kuwafuata wateja waliko wakae tu Kama gogo la mnazi kusubiri mteja !!!
Umachinga hauendi Kama Lisu anavyotaka hataweza hata angekuwa Raisi
Jibu rahisi tu machinga tarehe 28 October ni kumnyima kura yeye na chama chake
Sio wale wa kutembeza amboa hasa ndiko neno machinga limeanzia. Ni wale wanaopanga vitu chini mbele ya maduka.Kwa hii pointi ya Lissu amejidanganya sana. Siyo kwamba machinga hawavioni nyumba vya kuweka biashara zao bali wanatembea maksudi ili wawakute wateje kokote waliko. Hivyo kuwambia wasiwafuate wateja hiyo Lissu kajidanganya
Acha kutulaghai ndg. Atawaambia wenye frem washushe bei mpaka 20000 kwa mwezi.Wenye maduka karibu wote wamekuwa wamachinga. Kodi za pango hazilipiki watu wameamua bora wamwage bidhaa nje tuu.
Sasa kamanda kasema ataweka mazingira rafiki kwa hao wafanyabiashara ili warudi kwenye fremu zao kama mwanzo, kuna ubaya hapo?
Nadhani ww ni mmachinga hewa, huezi elewa situations waliyonayo.
Unforgetable
Hao wapanga vitu chini ni machinga wa kutembea vile vile hupanga wateja wapita njia walipo wao shida Yao sio kuwa na frame hata ungewapa bure Leo hawataki hizo frem wao wanaenda sehemu za watembea miguu wengi wanaweka chini bidhaa zao yaweza kuwa barabarani kabisa ,stendi ,misikitini.makanisani au popoteSio wale wa kutembeza amboa hasa ndiko neno machinga limeanzia. Ni wale wanaopanga vitu chini mbele ya maduka.
Wanatembeza mitaani wataendelea kama kawaida. Hao hawakwepeki na hajawataja hao.
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Akiwasaidia kujenga? Kea hiyo atarudishe tume ya Bei kumpangia mfanyabiashara Bei za fremu zake? Kwa hiyo atafuta soko huria kupanga Bei Bei za fremu zitakuwa zinapangwa Ikulu?Acha kutulaghai ndg. Atawaambia wenye frem washushe bei mpaka 20000 kwa mwezi.