CHIEF MASALAKULANGWA
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 794
- 664
Hizo ndio bitter facts za suala hilo, utake, usitake! Hata hao akina TOBO na Gaidi Mwenyekigoda wanajua hivyo. Wewe karagabaho na ushabiki wako!Mungu akusamehe tu na kejeli zako. Yakikusibu furahia kama haya unayoyafurahia sasahivi.
Hakuna mwenye ubavu wa kujibu hayo maswali! Waache wanaolishwa bure waendelee kula na kulala bure; wasichokoze nyuki wadogo ni wabaya na wakali kuliko nyuki wakubwa!Huyu Lissu anadanganya toto. Mwenye taarifa kuliko wote labda isipokuwa Lissu mwenyewe, ni dereva wake. Kwa nini anamficha dereva wake kwa gharama kubwa huko Ubeljiji ili tu asihojiwe? Anadhani akihojiwa atatoa taarifa gani itakayomwaibisha?
Kumbuka kina Lissu walikanusha minongono kuwa dereva alikuwa naye Nairobi ili afundishwe cha kujibu pindi akihojiwa na pollisi wakijibu kuwa ilibidi dereva awe na Lissu Nairobi ili atibiwe kisaikolojia. Cha ajabu Lissu alipohamishiwa Ubeljiji dereva naye yumo safarini Ubeljiji.
Lissu akaja kwenye project yake ya kugombea urais hakuthubutu kuja naye. Kuna nani cha kumficha dereva>>>
Kwahiyo mwanachadema akiomba tu basi mtu anakufa!!? Nchi ngumu sana hiiHuyu hata mwaka huu hauishi, nyama yake italiwa na udogo.
Usihangaike nae mana ameshupaza shingo, pamoja na maonyo yote aliyo onyeshwa kwa hatua Mungu alizo chukua hadi sasa.
Hili jambo linashangaza sana kama Lisu mwenyewe alikuja hapa kwenye uchaguzi kazunguka nchi nzima hakupigwa hata fimbo.Huyu Lissu anadanganya toto. Mwenye taarifa kuliko wote labda isipokuwa Lissu mwenyewe, ni dereva wake. Kwa nini anamficha dereva wake kwa gharama kubwa huko Ubeljiji ili tu asihojiwe? Anadhani akihojiwa atatoa taarifa gani itakayomwaibisha?
Kumbuka kina Lissu walikanusha minongono kuwa dereva alikuwa naye Nairobi ili afundishwe cha kujibu pindi akihojiwa na pollisi wakijibu kuwa ilibidi dereva awe na Lissu Nairobi ili atibiwe kisaikolojia. Cha ajabu Lissu alipohamishiwa Ubeljiji dereva naye yumo safarini Ubeljiji.
Lissu akaja kwenye project yake ya kugombea urais hakuthubutu kuja naye. Kuna nani cha kumficha dereva>>>
Huyu Lissu anadanganya toto. Mwenye taarifa kuliko wote labda isipokuwa Lissu mwenyewe, ni dereva wake. Kwa nini anamficha dereva wake kwa gharama kubwa huko Ubeljiji ili tu asihojiwe? Anadhani akihojiwa atatoa taarifa gani itakayomwaibisha?
Kumbuka kina Lissu walikanusha minongono kuwa dereva alikuwa naye Nairobi ili afundishwe cha kujibu pindi akihojiwa na pollisi wakijibu kuwa ilibidi dereva awe na Lissu Nairobi ili atibiwe kisaikolojia. Cha ajabu Lissu alipohamishiwa Ubeljiji dereva naye yumo safarini Ubeljiji.
Lissu akaja kwenye project yake ya kugombea urais hakuthubutu kuja naye. Kuna nani cha kumficha dereva>>>
Nilidhani unajibu hoja ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana ughaibuni. Ingependeza zaidi kama ungejibu hoja ya ni kwa nini watu wazima wenye nyadhifa na wanaotegemea kupewa madaraka makubwa wanaongea uongo mchana kweupeee eti dereva anatibiwa kisaikolojia Nairobi ila baadaye anakwenda Ubeljiji na analipiwa kuishi huko maisha yake yote au mpaka hapo CHADEMA watakapokuwa watawala wa nchi hiiWe lazima utakuwa ni mzee, au kijana lakini ni mshamba wa huko vijijini. Nyinyi ndio huwa mna uwezo mdogo wa kupambanua mambo pindi mnapolishwa propaganda mfu.
Hakuna mwenye ubavu wa kujibu hayo maswali! Waache wanaolishwa bure waendelee kula na kulala bure; wasichokoze nyuki wadogo ni wabaya na wakali kuliko nyuki wakubwa!
Nilidhani unajibu hoja ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana ughaibuni. Ingependeza zaidi kama ungejibu hoja ya ni kwa nini watu wazima wenye nyadhifa na wanaotegemea kupewa madaraka makubwa wanaongea uongo mchana kweupeee eti dereva anatibiwa kisaikolojia Nairobi ila baadaye anakwenda Ubeljiji na analipiwa kuishi huko maisha yake yote au mpaka hapo CHADEMA watakapokuwa watawala wa nchi hii
Acheni hadithi za "alinacha" na uongo juu ya suala la TOBO kupigwa "risasi za ndege"! Tumeshalizungumzia sana suala hili na the theory behind yake tukaisema. Ni hivi hicho kipigo alichopata TOBO ilikuwa na bado ni sehemu ya MKAKATI wa Gaidi Mwenyekigoda na JOPO lake kuhakikisha TOBO hapati nafasi ya UENYEKITI wa CHADEMA! Mkakati kama huo ulifanyika kwa yule Mura wa kule Tarime. Wote tunajua what happened to MURA! Amini - usiamini, mwanachama yoyote wa CHADEMA akikitaka hicho kiti ATAJUTA KUZALIWA. Najua huamini, lakini ukipata nafasi ya siri na ukaongea na Mwepesi, utaamini haya ninayo sema.
Maneno ya mtu aliyefilisika mawazo baada ya kuchoshwa mno sana. Endelea kujivua ufahamuNasema hivi, ww lazima utakuwa mzee, uchunguzi unamngoja dereva, kama dereva angekuwa amekufa uchunguzi usingefanyika?
Hakuna kejeli hapa! Hapa nazungumzia FACTS zilivyo huko kwa Gaidi Mwenyekigoda!Mungu akusamehe tu na kejeli zako. Yakikusibu furahia kama haya unayoyafurahia sasahivi.
Wewe acha kutukana ndugu zako na wazee wako uliowaacha huko kwenu kijijini! Hakuna mshamba hapa,bali anakupa facts ziivyo kwenye suala la akina TOBO na GAIDI MWENYEKIGODA na NGO yao! Pinga facts kwa facts siyo kwa matusi ya rejareja!We lazima utakuwa ni mzee, au kijana lakini ni mshamba wa huko vijijini. Nyinyi ndio huwa mna uwezo mdogo wa kupambanua mambo pindi mnapolishwa propaganda mfu.
abulaaliyah, siyo suala la kuwa au kutokuwa na akili, ni suala la FACTS kama zilivyo in real life na hususan huko kwa akina TOBO na Gaidi Mwenyekigoda!Kumbe chifu huna akili hv??,
Alikiugaia mkeo na mama yako ndio maana unachukia?Hakuna kejeli hapa! Hapa nazungumzia FACTS zilivyo huko kwa Gaidi Mwenyekigoda!
Lete HOJA siyo matusi! By the way, huwa anafanya hayo huko kwenye chama na kwenye vikao vyenu? KWANI AISIFIAYE MVUA LAZIMA IMEMNYESHEA au siyo!?Alikiugaia mkeo na mama yako ndio maana unachukia?