Hahahhaa credibility ya habari yako tu
We jamaa utakuwa mgonjwa.Tundu Lisu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.
Lisu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.
My take:
Kitendo cha Lisu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa bavicha wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.
Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu anayemmiminia binadamu mwenzake risasi 38 hakika si mzima na ukweli ni kwamba aliyemimina risasi kwa sasa anateseka kuliko aliyemiminiwa risasi...kweli Mungu Mkubwa.We jamaa utakuwa mgonjwa.
Ametaka au ameulizwa uwezekano ?!. Kama unataka uchunguzi huru, huwezi kuchagua wa kumchunguza !!Tundu Lisu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.
Lisu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.
My take:
Kitendo cha Lisu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa bavicha wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.
Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu alishasema hakuna amani kwa muovu. Wana tapatapa.Binadamu anayemmiminia binadamu mwenzake risasi 38 hakika si mzima na ukweli ni kwamba aliyemimina risasi kwa sasa anateseka kuliko aliyemiminiwa risasi...kweli Mungu Mkubwa.
Wewe nikituko unaelewa maana ya uchunguzi huru? Mbowe ninani? Ruhusu uchunguzi huru usianze kutupa majibu kabla ya uchunguzi huru kwa maana ya hata wewe au Mimi na yeyote achunguzwe tujue ukweli. Kumpoint mtu haina maana achana na ushabiki usio na tija njaaa mbaya sana. Kimbuka siyo lazima kuanzisha thread hata ukiwa msomaji inatosha. Huu ujinga utatuisha lini watanzania wenzangu?Tundu Lisu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.
Lisu ametaka uchunguzi huru wa kuwachunguza Mbowe, Makonda ,Magufuli kama wamehusika kwenye tukio lake la kupigwa risasi.
My take:
Kitendo cha Lisu kutaka hata Mbowe achunguzwe kitakuwa mwiba mchungu kwa bavicha wanaopenda kumkingia kifua Mbowe ,huku wakimtaka Lisu agombee urais wa Tanzania.
Kama kweli Mbowe atachunguzwa kama Lisu anavyotaka ,basi huenda yakaibuka mengi na hata hatima ya mauaji ya Chacha Wangwe ambayo Mbowe amekuwa akihusishwa bila uchunguzi kwa miaka mingi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda kuna ukweli lakini Unajua kwa nini watu wanahisi hilo ni shambulio lenu kwa sababu aliyekataa uchunguzi huru ni ninyi na mbowe ndiye aliyekuwa wakwanza kuomba uchunguzi huru kutoka vyombo vya nje, na kama mlikuwa na uhakika kahusika msinge pata kigugumizi.Tundu Lisu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko ,ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake, akawajibu hata yeye hajui huenda alihusika kweli!.