Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,861
- 11,323
Labda anamaanisha kuwa, ikiwa CCM wanaweza kuwakata washindi wote, wakambakisha Aidan tu, inawezekana kuwa, licha ya Aidan kushinda, alipitishwa na CCM pia.Akiwa Mgeni wa Heshima katika sherehe za Bawacha jana, Lissu hakuweza kujizuia kumtaja Aida. Alirudia tena madai yake kuwa Aida alipewa ubunge na CCM. Huo ni upotoshaji mkubwa kwa sababu una maanisha kuwa Aida hakushinda uchaguzi bali CCM walifanya figisu figisu na kumpa kura za ushindi.
Anashindwa kukubali kuwa Aida alishinda kihalali na akatangazwa. Swali analoweza kuuliza ni kwa nini CCM walimtangaza yeye tu? Inawezekana Aida alijipanga vizuri yeye na wapiga kura wake kiasi cha CCM kushindwa kudhulumu.
Inawezekana CCM waliisha mchoka mshindani wake na kuona bora aondoke. Na Inawezekana msimamizi wa uchaguzi katika eneo lake alikuwa mtenda haki na nafsi yake ilimzuia kufanya dhulma. Badala ya kulirudia rudia, yeye na wenzake wangekaa nae na kumuomba awaeleze alifanikiwa vipi. Huyu dada ni mpiganaji na ni mfano wa kuigwa.
Lissu pia alisema kuwa huo msimamo wake haukueleweka vizuri ndio maana watu wakamrushia madongo. Alisema haukuwa personal bali ukweli unabidi kusemwa. Hapo tena amejaribu kujikosha. Watu walimrushia madongo kwa kikubwa kutokana na yeye kudai kuwa Aida hachangii lolote. Hilo ndio liliwakera watu maana mchango wa Aida wote tuna uona. Na wenzake wanaouona ndio maana wakampa ngao.
Lissu anapaswa kukiri kuwa alikosea na amuombe radhi.
Amandla...
Akiwa Mgeni wa Heshima katika sherehe za Bawacha jana, Lissu hakuweza kujizuia kumtaja Aida. Alirudia tena madai yake kuwa Aida alipewa ubunge na CCM. Huo ni upotoshaji mkubwa kwa sababu una maanisha kuwa Aida hakushinda uchaguzi bali CCM walifanya figisu figisu na kumpa kura za ushindi.

Kwa hiyo CCM waliiba kura ili ashinde?Lissu alipiga kwenye mshono.
Aida alipewa Ubunge iko wazi ndo Sababu alishindwa kijitetea kwa hoja za mashiko.
Kama Aidan na wenzake walishinda utasemaje kuwa alipewa? Ungesema waliibiwa wote isipokuwa yeye?Ni kwamba hujielewi, sio Aidan peke yake alishinda chadema, kwa mantiki hiyo kura didn’t matter , so alipewa?!
Mbona unajichanganya? Unakiri kuwa Aida na wenzake walishinda halafu hapo hapo unasema alipewa! Utapewaje kitu ambacho ni cha kwako?CCM mmekosa akili sana yaaani. Yaani kazi yenu siku hizi sio kuzungumza sera zenu ni kutaka tu kupotosha hoja za Lissu.
Sasa kama CHADEMA walishinda majimbo 90 alafu hawakutangazwa kwenye majimbo 89 wakatangazwa kwenye jimbo 1 huko sio kupewa?
mtahangaika sana kupotosha ila ndo hivyo LISSU kabarikiwa na Mungu na watanzania tunamuelewa sana.
Ndo kupewa kwenyewe hukoKama Aidan na wenzake walishinda utasemaje kuwa alipewa? Ungesema waliibiwa wote isipokuwa yeye?
Amandla...
Akiwa Mgeni wa Heshima katika sherehe za Bawacha jana, Lissu hakuweza kujizuia kumtaja Aida. Alirudia tena madai yake kuwa Aida alipewa ubunge na CCM. Huo ni upotoshaji mkubwa kwa sababu una maanisha kuwa Aida hakushinda uchaguzi bali CCM walifanya figisu figisu na kumpa kura za ushindi.
Anashindwa kukubali kuwa Aida alishinda kihalali na akatangazwa. Swali analoweza kuuliza ni kwa nini CCM walimtangaza yeye tu? Inawezekana Aida alijipanga vizuri yeye na wapiga kura wake kiasi cha CCM kushindwa kudhulumu.
Inawezekana CCM waliisha mchoka mshindani wake na kuona bora aondoke. Na Inawezekana msimamizi wa uchaguzi katika eneo lake alikuwa mtenda haki na nafsi yake ilimzuia kufanya dhulma. Badala ya kulirudia rudia, yeye na wenzake wangekaa nae na kumuomba awaeleze alifanikiwa vipi. Huyu dada ni mpiganaji na ni mfano wa kuigwa.
Lissu pia alisema kuwa huo msimamo wake haukueleweka vizuri ndio maana watu wakamrushia madongo. Alisema haukuwa personal bali ukweli unabidi kusemwa. Hapo tena amejaribu kujikosha. Watu walimrushia madongo kwa kikubwa kutokana na yeye kudai kuwa Aida hachangii lolote. Hilo ndio liliwakera watu maana mchango wa Aida wote tuna uona. Na wenzake wanaouona ndio maana wakampa ngao.
Lissu anapaswa kukiri kuwa alikosea na amuombe radhi.
Amandla...
Ni kweli si vyema Lisu kuendelea kumsema Aida, lakini nilivyomuelewa mimi ni kuwa wapinzani wengi walishinda lakini hawakutangazwa. Ila Aida alitangazwa kwa hisani.Mbona unajichanganya? Unakiri kuwa Aida na wenzake walishinda halafu hapo hapo unasema alipewa! Utapewaje kitu ambacho ni cha kwako?
Lissu sio Mungu. Mnavyozidi kumpa uungu ndio mnakosea.
Amandla...
Unaipa tafsiri ili iendane na imani yako?Ndo kupewa kwenyewe huko
Hata hiyo haijakaa sawa. Hisani kwa nani? Kwa Aida au kwa CDM? Kama ni kwa Aida basi ni kwa sababu walitaka kumsaidia. Kama ni kwa CDM, kwa nini hailaumu CDM. Pale alipoongeza kuwa Aida hajafanya lolote toka aingie Bungeni ilionyesha kuwa hii ishu ni personal tofauti na anavyodai.Ni kweli si vyema Lisu kuendelea kumsema Aida, lakini nilivyomuelewa mimi ni kuwa wapinzani wengi walishinda lakini hawakutangazwa. Ila Aida alitangazwa kwa hisani.
Acha porojo.Akiwa Mgeni wa Heshima katika sherehe za Bawacha jana, Lissu hakuweza kujizuia kumtaja Aida. Alirudia tena madai yake kuwa Aida alipewa ubunge na CCM. Huo ni upotoshaji mkubwa kwa sababu una maanisha kuwa Aida hakushinda uchaguzi bali CCM walifanya figisu figisu na kumpa kura za ushindi.