Lissu: Asiyefanya kazi na asile

Lissu: Asiyefanya kazi na asile

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
22,762
Reaction score
27,497
Profesa Kitila Mkumbo ana-imply kwamba CUF ya Profesa Lipumba na nje ya UKAWA itakuwa chama imara.

Kwa sababu anajua ni hoja uchwara isiyokuwa na msingi wowote katika hali halisi, Profesa Kitila Mkumbo anaongeza a rider kwamba haya ni maoni yake tu, sio lazima yawe ni 'facts.' Kwa nini msomi huyu anayesifika anatoa maoni without any basis in facts??? Ni usomi gani huu???

Profesa Kitila Mkumbo sio mjinga kiasi hicho, ni msomi na mtu mwerevu. Anajua what the facts are lakini hataki kuzisema kwa sababu they are inconvenient facts.

What are these inconvenient facts? ?? Ni hizi hapa: CUF ya Profesa Lipumba ilikuwa haiendi popote politically. Kilele cha CUF ya Lipumba ilikuwa Uchaguzi Mkuu wa '05 alipopata kura milioni 1.8. Baada ya hapo it's all downhill, by '10 Profesa Lipumba alipata kura laki 6, a whopping 66% drop.

Kwenye ubunge, CUF ya Profesa Lipumba ilikuwa haijawahi kupata wabunge zaidi ya wawili Bara. Which is to say, CUF iliyokuwa inamfichia Lipumba ni CUF ya Zanzibar ambayo haijawahi kushindwa uchaguzi Zanzibar tangu '95.

Ni ujambazi wa maCCM tu ndio ambao umewanyima CUF ya Zanzibar ushindi miaka yote hii. Kwa mara ya kwanza, kwa sababu ya kushirikiana na CHADEMA, CUF ya Tanganyika ilipata viti kumi vya ubunge Tanganyika.

Hii ni idadi kubwa ya wabunge wa kuchaguliwa kuliko wote wa '95, '00, '05 na '10 combined. Ya Zanzibar yanafahamika. These are indisputable facts, sio maoni. CUF ya Lipumba itakuwa na nguvu kuliko hizi zilizotokana na UKAWA? ??

Ni mjinga tu anayeweza kusema au kufikiria hivyo. Ni ujinga huo huo walio nao hao wanaomtumia Lipumba wakifikiria kwamba ataua UKAWA na CUF Zanzibar.

Kama uchaguzi wa mwaka jana is any guide, Profesa Lipumba akigombea hatakuwa tofauti na mgombea wa ACT ambaye licha mahela yote ya maCCM ili agawe kura za UKAWA, hakufikisha hata laki moja. Kwenye ubunge hatapata hata mmoja mmoja au wawili ambao alikuwa anawapata miaka ya nyuma.

Lipumba amebakia politically a walking corpse, bila mapolisi na usalama wa taifa na maCCM hawezi kuhutubu mkutano wa kitongoji.

He's finished. Hata mumpambe namna gani he's politically a dead man walking.

Anachokifanya hakitatuumiza in any meaningful way, hasa hasa kinatuondolea utando wa buibui kwenye fikra za wengi kwamba bado kuna upinzani nje ya UKAWA. Hakuna.
 
Lissu unaweza kuongea bila kuidragg in ACT, pia hujatoa ushahidi wa mapesa waliyopewa ACT, na wewe ni wale wale tu wa kuongea bila facts katika hili suala

Ni wewe Lissu ulieandika list of Shame na kumuweka Lowasa ndani yake, lakini leo ni kamanda mwenzio tena ukacampaign kumuingiza ikulu, so wewe hapo ndo unazingua zaidi kamanda
 
Kila siku mnatolea mfano kitu kimoja tu,yaani hiyo ya lumpokea lowasa Imekuwa ndio topic na hoja yenu tangu last year,
 
*ANAANDIKA TUNDU LISSU*

Profesa Kitila Mkumbo ana-imply kwamba CUF ya Profesa Lipumba na nje ya UKAWA itakuwa chama imara.

Kwa sababu anajua ni hoja uchwara isiyokuwa na msingi wowote katika hali halisi, Profesa Kitila Mkumbo anaongeza a rider kwamba haya ni maoni yake tu, sio lazima yawe ni 'facts.' Kwa nini msomi huyu anayesifika anatoa maoni without any basis in facts??? Ni usomi gani huu???

Profesa Kitila Mkumbo sio mjinga kiasi hicho, ni msomi na mtu mwerevu. Anajua what the facts are lakini hataki kuzisema kwa sababu they are inconvenient facts.

What are these inconvenient facts? ?? Ni hizi hapa: CUF ya Profesa Lipumba ilikuwa haiendi popote politically. Kilele cha CUF ya Lipumba ilikuwa Uchaguzi Mkuu wa '05 alipopata kura milioni 1.8. Baada ya hapo it's all downhill, by '10 Profesa Lipumba alipata kura laki 6, a whopping 66% drop.

Kwenye ubunge, CUF ya Profesa Lipumba ilikuwa haijawahi kupata wabunge zaidi ya wawili Bara. Which is to say, CUF iliyokuwa inamfichia Lipumba ni CUF ya Zanzibar ambayo haijawahi kushindwa uchaguzi Zanzibar tangu '95.

Ni ujambazi wa maCCM tu ndio ambao umewanyima CUF ya Zanzibar ushindi miaka yote hii. Kwa mara ya kwanza, kwa sababu ya kushirikiana na CHADEMA, CUF ya Tanganyika ilipata viti kumi vya ubunge Tanganyika.

Hii ni idadi kubwa ya wabunge wa kuchaguliwa kuliko wote wa '95, '00, '05 na '10 combined. Ya Zanzibar yanafahamika. These are indisputable facts, sio maoni. CUF ya Lipumba itakuwa na nguvu kuliko hizi zilizotokana na UKAWA? ??

Ni mjinga tu anayeweza kusema au kufikiria hivyo. Ni ujinga huo huo walio nao hao wanaomtumia Lipumba wakifikiria kwamba ataua UKAWA na CUF Zanzibar.

Kama uchaguzi wa mwaka jana is any guide, Profesa Lipumba akigombea hatakuwa tofauti na mgombea wa ACT ambaye licha mahela yote ya maCCM ili agawe kura za UKAWA, hakufikisha hata laki moja. Kwenye ubunge hatapata hata mmoja mmoja au wawili ambao alikuwa anawapata miaka ya nyuma.

Lipumba amebakia politically a walking corpse, bila mapolisi na usalama wa taifa na maCCM hawezi kuhutubu mkutano wa kitongoji.

He's finished. Hata mumpambe namna gani he's politically a dead man walking.

Anachokifanya hakitatuumiza in any meaningful way, hasa hasa kinatuondolea utando wa buibui kwenye fikra za wengi kwamba bado kuna upinzani nje ya UKAWA. Hakuna.
Unganeni UKAWA kiwe chama kipya mfute CUF na NLD na CHADEMA na CUF. Rais awe Mbatiya Katibu Mkuu Margaret Sakaya na Mweka Fedha Jussa Ladhu. Mtaongeza wabunge zaidi. Lissu hawezi akakiri kuwa UKAWA haitapata kura hata moja kama vyama vingi vitakufa.
 
Kama Kitila M na Lipumba ndio maprofesa wa Tanzania bora tusaidiwe na watu wa Certificate na Diploma kwa uchambuzi wa mambo!!!!
Na watu WA level hii ndo makino kuliko wenye degree au phd..wanatendea kazi level yao kwa ufasaha mkubwa..
 
*ANAANDIKA TUNDU LISSU*

Profesa Kitila Mkumbo ana-imply kwamba CUF ya Profesa Lipumba na nje ya UKAWA itakuwa chama imara.

Kwa sababu anajua ni hoja uchwara isiyokuwa na msingi wowote katika hali halisi, Profesa Kitila Mkumbo anaongeza a rider kwamba haya ni maoni yake tu, sio lazima yawe ni 'facts.' Kwa nini msomi huyu anayesifika anatoa maoni without any basis in facts??? Ni usomi gani huu???

Profesa Kitila Mkumbo sio mjinga kiasi hicho, ni msomi na mtu mwerevu. Anajua what the facts are lakini hataki kuzisema kwa sababu they are inconvenient facts.

What are these inconvenient facts? ?? Ni hizi hapa: CUF ya Profesa Lipumba ilikuwa haiendi popote politically. Kilele cha CUF ya Lipumba ilikuwa Uchaguzi Mkuu wa '05 alipopata kura milioni 1.8. Baada ya hapo it's all downhill, by '10 Profesa Lipumba alipata kura laki 6, a whopping 66% drop.

Kwenye ubunge, CUF ya Profesa Lipumba ilikuwa haijawahi kupata wabunge zaidi ya wawili Bara. Which is to say, CUF iliyokuwa inamfichia Lipumba ni CUF ya Zanzibar ambayo haijawahi kushindwa uchaguzi Zanzibar tangu '95.

Ni ujambazi wa maCCM tu ndio ambao umewanyima CUF ya Zanzibar ushindi miaka yote hii. Kwa mara ya kwanza, kwa sababu ya kushirikiana na CHADEMA, CUF ya Tanganyika ilipata viti kumi vya ubunge Tanganyika.

Hii ni idadi kubwa ya wabunge wa kuchaguliwa kuliko wote wa '95, '00, '05 na '10 combined. Ya Zanzibar yanafahamika. These are indisputable facts, sio maoni. CUF ya Lipumba itakuwa na nguvu kuliko hizi zilizotokana na UKAWA? ??

Ni mjinga tu anayeweza kusema au kufikiria hivyo. Ni ujinga huo huo walio nao hao wanaomtumia Lipumba wakifikiria kwamba ataua UKAWA na CUF Zanzibar.

Kama uchaguzi wa mwaka jana is any guide, Profesa Lipumba akigombea hatakuwa tofauti na mgombea wa ACT ambaye licha mahela yote ya maCCM ili agawe kura za UKAWA, hakufikisha hata laki moja. Kwenye ubunge hatapata hata mmoja mmoja au wawili ambao alikuwa anawapata miaka ya nyuma.

Lipumba amebakia politically a walking corpse, bila mapolisi na usalama wa taifa na maCCM hawezi kuhutubu mkutano wa kitongoji.

He's finished. Hata mumpambe namna gani he's politically a dead man walking.

Anachokifanya hakitatuumiza in any meaningful way, hasa hasa kinatuondolea utando wa buibui kwenye fikra za wengi kwamba bado kuna upinzani nje ya UKAWA. Hakuna.
Kumekucha sasa upinzani wa sawasawa unakuja Tanzania Ukawa sasa kuwa chama Rasmi ama Maalin Seif kujiunga rasmi na Chadema. In future kutakuwa Chama kimoja chenye nguvu bara na visiwani.
 
Ma-profesa wote hawa 2 ni waganga njaa jamani tuachane nao! sie wa form 6 tuna weledi na ubunifu hata kuliko wao!
 
lisu kaonge ukweli ambao yeye mwenyewe hauamini maana takribani miaka nane ametumika kumchafua Mh.Lowassa na kumuita fisadi lowassa,Rafiki take Mh.lema akaenda mbali na kusema Lowassa anapaswa kupigwa mawe but Leo hii wote wanakaa meza moja na kujadili eti ukombozi wa nchi hahahahaha upinzani nchi hii wajipange sana aisee..
 
Namheshimu sana Kitila, ila kuna wakati huwa anaishangaza sana. This time kaenda mbali sana kwa kutilia shaka 'facts' zake kwamba si lazima ziwe 'fact'.
Tundu Lissu, andiko lake limeeleweka kama ambavyo lingeelewwka bila ya kuitaja ACT.
Wasomi wetu wanapaswa kuwa makini sana wanapomua Ku share fikara, arguments na mitazamo yao.
 
Kumekucha sasa upinzani wa sawasawa unakuja Tanzania Ukawa sasa kuwa chama Rasmi ama Maalin Seif kujiunga rasmi na Chadema. In future kutakuwa Chama kimoja chenye nguvu bara na visiwani.
Nahisi kuna ukweli hapa.
 
Maprof na Madr wetu ni janga la kitaifa!!!!
 
Profesa Kitila Mkumbo ana-imply kwamba CUF ya Profesa Lipumba na nje ya UKAWA itakuwa chama imara.

Kwa sababu anajua ni hoja uchwara isiyokuwa na msingi wowote katika hali halisi, Profesa Kitila Mkumbo anaongeza a rider kwamba haya ni maoni yake tu, sio lazima yawe ni 'facts.' Kwa nini msomi huyu anayesifika anatoa maoni without any basis in facts??? Ni usomi gani huu???

Profesa Kitila Mkumbo sio mjinga kiasi hicho, ni msomi na mtu mwerevu. Anajua what the facts are lakini hataki kuzisema kwa sababu they are inconvenient facts.

What are these inconvenient facts? ?? Ni hizi hapa: CUF ya Profesa Lipumba ilikuwa haiendi popote politically. Kilele cha CUF ya Lipumba ilikuwa Uchaguzi Mkuu wa '05 alipopata kura milioni 1.8. Baada ya hapo it's all downhill, by '10 Profesa Lipumba alipata kura laki 6, a whopping 66% drop.

Kwenye ubunge, CUF ya Profesa Lipumba ilikuwa haijawahi kupata wabunge zaidi ya wawili Bara. Which is to say, CUF iliyokuwa inamfichia Lipumba ni CUF ya Zanzibar ambayo haijawahi kushindwa uchaguzi Zanzibar tangu '95.

Ni ujambazi wa maCCM tu ndio ambao umewanyima CUF ya Zanzibar ushindi miaka yote hii. Kwa mara ya kwanza, kwa sababu ya kushirikiana na CHADEMA, CUF ya Tanganyika ilipata viti kumi vya ubunge Tanganyika.

Hii ni idadi kubwa ya wabunge wa kuchaguliwa kuliko wote wa '95, '00, '05 na '10 combined. Ya Zanzibar yanafahamika. These are indisputable facts, sio maoni. CUF ya Lipumba itakuwa na nguvu kuliko hizi zilizotokana na UKAWA? ??

Ni mjinga tu anayeweza kusema au kufikiria hivyo. Ni ujinga huo huo walio nao hao wanaomtumia Lipumba wakifikiria kwamba ataua UKAWA na CUF Zanzibar.

Kama uchaguzi wa mwaka jana is any guide, Profesa Lipumba akigombea hatakuwa tofauti na mgombea wa ACT ambaye licha mahela yote ya maCCM ili agawe kura za UKAWA, hakufikisha hata laki moja. Kwenye ubunge hatapata hata mmoja mmoja au wawili ambao alikuwa anawapata miaka ya nyuma.

Lipumba amebakia politically a walking corpse, bila mapolisi na usalama wa taifa na maCCM hawezi kuhutubu mkutano wa kitongoji.

He's finished. Hata mumpambe namna gani he's politically a dead man walking.

Anachokifanya hakitatuumiza in any meaningful way, hasa hasa kinatuondolea utando wa buibui kwenye fikra za wengi kwamba bado kuna upinzani nje ya UKAWA. Hakuna.

Serikali za mitaa walifanya vizuri hata bila huyo nyangema, wenu
 
Back
Top Bottom