Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,020
- 74,694
Sababu za Lowassa mnazotoa ni za watu wenye uelewa finyu sana.lisu kaonge ukweli ambao yeye mwenyewe hauamini maana takribani miaka nane ametumika kumchafua Mh.Lowassa na kumuita fisadi lowassa,Rafiki take Mh.lema akaenda mbali na kusema Lowassa anapaswa kupigwa mawe but Leo hii wote wanakaa meza moja na kujadili eti ukombozi wa nchi hahahahaha upinzani nchi hii wajipange sana aisee..
Nchi za magharibi zilimwita Mandela gaidi kwa zaidi ya miaka 27 lakini baadae akaitwa shujaa na tuzo yenye heshima ya NOBEL akapewa.
Binadamu sio jiwe anaweza kubadilika wakati wowote, hata mchawi wa miaka nane aweza kuwa mlokole na mkabaki mnashangaa