Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
Kwani ni nani aliyejaribu kumuua Lissu? Mie najua ni yule aliyesema mbele ya kamera msaliti hastahili ku survive
Lissu aende mahakamani ili JPM achukuliwe hatua kwa matumizi mabaya ya ofisi kama kweli ana ushahidi. Lissu ni muongo Dk Mollel alitoa siri zote za walioshiriki. Chadema wana siri nzito ndio maana hawataki kumleta dereva wa Lissu.Ukweli sio uchochezi boss.
Airport ya Dar hawezi kuchomoka, kama alivyodakwa Seth Lissu atadakwa mapema kabisa.Ameshakata tiketi ya kurudi kwao ubeligiji
Anajua ni mhalifu
Lissu aende mahakamani ili JPM achukuliwe hatua kwa matumizi mabaya ya ofisi kama kweli ana ushahidi. Lissu ni muongo Dk Mollel alitoa siri zote za walioshiriki. Chadema wana siri nzito ndio maana hawataki kumleta dereva wa Lissu.
Airport ya Dar hawezi kuchomoka,kama alivyodakwa Seth Lissu atadakwa mapema kabisa.
Kuna mahakama gani ya kushughulikia huo ukweli wa Lisu hapa nchini? Alichosema Lisu ni ukweli kwa 100%. Na hili wananchi wote wanalijua, ila kwa sasa wako kimya kuhofia usalama wao. Imeisha hiyo.
Acha upumbavu wewe sababu nyinyi ndio mnamzushia uongo kiongozi wetu Mh Tundu Lisu.
Ushoga mmeubariki nyinyi alafu mnamsingizia! Rejea mlivyomkana makonda mkaandika na barua kuwabembeleza mabeberu kuwa mashoga na wasagaji wapo huru Tanzania.
Mkaja tena na uzushi wenu kuwa anatumika na mabeberu ila chaajabu rasilimali karibu zote mlishawapa hao mabeberu.
CCM siku hizi haina tofauti na kikundi cha wahuni
|
Unajua sababu za Chadema na Lissu kumficha shahidi namba moja aliyekuwepo eneo la tukio!? Shahidi namba moja ni dereva wake Lissu aliyekuwepo kwenye eneo la tukio nakulishuhudia kwa macho!USSR kwa akili yako tu na uelewa wako unahisi Lissu alishambuliwa na nani Dodoma?
Unaongea as if unamiliki dunia hii, kwa kipi hasa huo mshahara ambao ukikatwa haufiki hata millioni moja? Au hiyo posho ya katikati ya mwezi ambayo nayo mmeshapunguziwa!Huyu tutambinya korosho zake. Mpaka ataje alomtuma kucheza na sisi. Wacha tumalize uchaguzi
Tutambinya tu... Hata kama kesha kata ticketUnaongea as if unamiliki dunia hii, kwa kipi hasa huo mshahara ambao ukikatwa haufiki hata millioni moja? Au hiyo posho ya katikati ya mwezi ambayo nayo mmeshapunguziwa!
Mahakama ni chombo huru kama ana ushahidi ukweli utajulikana,aache propaganda za kwenye majukwaa.
Unafahamu Lissu kabla ya kuingia kwenye siasa alishinda kesi ngapi?Hakuna taasisi huru nchi hii. Hizo taasisi ni huru kinadharia.
Unafahamu Lissu kabla ya kuingia kwenye siasa alishinda kesi ngapi?
Na aliyekalia 'Kiti' huko aliko Kisiasa na Kisera pia.USSR kwa akili yako tu na uelewa wako unahisi Lissu alishambuliwa na nani Dodoma?
Ahaaaa,umombo wa nini? Nataka kukuambia mahakama zipo huru.It has nothing to do with our current discussion.