Lissu apata dhamana Polisi. Anatuhumiwa kwa uchochezi unaoweza kusababisha machafuko ya kidini

Reucherau

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
756
1,740
Ametuhumiwa kuongea lugha ya Uchochezi inayoweza kuleta machafuko ya kidini. Anatuhumiwa akiwa Zanzibar alisema uchaguzi wa marudio ulikuwa haramu kama Mwislam kula Nguruwe. Amedhaminiwa na Mawakili Hekima Mwasipu na Nashoni Nkungu, ataenda tena polisi tarehe 13 Machi.

Shtaka
That during by election in Zanzibar which was held couples of months ago he uttered words which were likely to provoke the religious feelings contrary to section 129 penal code!
 
Nilichojifunza hawamu hii chochote kile ni central tu ila tuwe wakweli Kuna raisi ambaye amesemwavibaya kama Obama au Jk sasa awamu hii atakiiwa umelewa ukafkgvjdkffjdjfjdd unajikutapo Central au mahakamani na no dhamana
 
Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana.
Shtaka ambalo ameshtakiwa nalo
Kashtakiwa kwa kwa kosa hili hapa:

That during by election in Zanzibar which was held couples of months ago he uttered words which were likely to provoke the religious feelings contrary to section 129 penal code!_
 
Ni kweli Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana shtaka ambalo ameshtakiwa nalo
Kashtakiwa kwa kwa kosa hili hapa:

That during by election in Zanzibar which was held couples of months ago he uttered words which were likely to provoke the religious feelings contrary to section 129 penal code!_
 
Back
Top Bottom