Mister mimi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 357
- 649
- Thread starter
-
- #41
Umesema vizuri sana kiongozi...mtoa mada hebu twende taratibu kidogo.
..malalamiko dhidi ya Tume yetu ya uchaguzi yamekuwa yakiongezeka kadiri miaka inavyokwenda.
..Ripoti Tume za Jaji Nyalali, Jaji Kisanga, Jaji Bomani, Jaji Warioba, Prof.Mkandala, zote zimebainisha kwamba Tume yetu sio huru, hivyo inahitaji marekebisho makubwa.
..Sasa katika mazingira hayo kwanini CCM inakuwa na kiburi kutokusiliza ushauri wa watu waadilifu na wabobezi ktk jamii yetu?
..Tundu Lissu hajasema kitu chochote kipya bali amerejea tu yaliyosemwa na Tume mbalimbali zilizoangazia Tume yetu na mifumo ya uchaguzi hapa nchini.
..Hii nchi ni yetu sote.
..Tutendeana HAKI.
Kwa akili hizi ccm itatawala hata miaka 2000 ijayo. Kama ndo inadhani ipo hivyo basi pole sana nyumbu wewe.Hao vijana unaosema wako CCM ndio wale waliojipaka matope na kupita mbele ya raisi, au unazungumzia akina mwakani wanagalagala kwenye vumbi? hao vijana ni kama akina Lucas Mwashambwa ? Huko CCM Kuna vijana gani wenye kujenga hoja wakaeleweka labda
Uhuru wa tume umeupima kwa vigezo gani, kutangazwa Lisu mshindi haiwezi kuhalalisha uhuru wa tume, inaweza ikawa hisani tu ili kuwafumba macho wananzengo.Haki ya kweli ya kiuchaguzi itapatikana kwa uwepo wa tume iliyo huru.Kwanza,kwenye chama chake tu kuna watu zaidi ya 40% hawamkubali,hiyo imethibitika kwenye uchaguzi mkuu wa chama,hata kama atapambana kuwarudisha, hutawarudisha wote.wengine atakua nao ila hawatakua upande wake abadani,na huo ndio ukweli akubali ukatae!
Hoja ya kugomea uchaguzi na kutangaza kuzuia uchaguzi mapema hivi ni dalili ya uoga na kukubali kushindwa mapema sana,yani umetupa taulo hata kabla hujaingia ulingoni.maana kama hoja ni katiba na tume tu inabidi utuambie kwanza wakati ulipokua mbunge ulitangazwa mshindi kupitia katiba na tume za namna gani?
Je kama tume zilikua hazitendi haki,je na wewe ulipokua mbunge ubunge uliupata kinyume na haki? Tambua kuwa sibezi hitaji la katiba na tume bora yenye kujisimamia.ila kususia uchaguzi kwa hoja hiyo ni kichaka cheupe sana ikiwa viongozi wengi tu ukiwemo wewe mwenyewe ulitangazwa mshindi na tume hizo hizo tunazozilalamikia.
Vijana wengi saizi ni ccm tena CCM haswa,kwanini vijana wengi wanakua CCM,kwa sababu wanajionea ukiwa CCM kuna chochote kitu unapata,japo hili hutakubaliana nalo ila haitabadilisha ukweli.vijana saizi wanataka hela,na wanaelewa vyama vyote vina hela.wanaona vijana wenzao waliopo CCM wanavyopata hela na fursa,sasa yeye aendelee kufanya siasa za kuchangisha wanachama bila kuwaeleza fungu la ruzuku lime limefanya kazi gani! Ujinga una mwisho(sisemi kwa ubaya bali hoja).
Siasa ni watu na CCM inatafuta watu usiku na mchana,majumbani,makanisani,misikitini,michezoni.popote palipo na watu CCM ipo na ina watu wake hapo.na yote inayofanya CCM hakuna chama kinazuiliwa kufanya.nyinyi endeleeni kujifungia ofisini mkitoka mnatangaza migomo na kuwatukana wahamasishaji na washawishi wa ccm kuwa ni machawa.haya! Machawa hao hao wanasepa na kijiji! Mkija kushtuka kuwa mliokuwa mkiwabeza na kuwakashifu kumbe wana umuhimu, kumekucha!
Lingine niwambie CHADEMA kuwa wasiishi wakati uliopita,maana katika wakati huu wapenzi wao wengi iliokuwa nao chaguzi mbili mpaka tatu zilizopita,wengi wao wamevujwa mioyo sana na mienendo ya viongozi wao wa juu tatika hizo chaguzi,na ukweli wengi wamejiunga au wamehamia ccm na wengine kuchukia na kuachana kabisa na siasa.
Na kosa lingine analofanya mwenyekiti mpya CHADEMA ni kutangaza hadharani hahitaji muungano na chama kingine.anaamini yeye ndio yeye na anaweza peke yake,wakati hata ccm wanapambana kuungwa mkono na vyama vingine yeye anagoma.yaani unafanya siasa halafu hutaki watu wakuunge mkono.
CCM ukiona hawamtaki mtu ujue huyo mtu hawaungi mkono na amegoma kubadilika au kushawishika.
Na katika hili CCM wameweza sana,wamewekeza sana katika watu,wapo karibu sana na watu,kutoka ngazi ya taifa hadi ubalozi wa nyumba kumi,na inawalipa!
Huu ndio ukweli japo ni mchungu.
Sisi CHADEMA tuendelee kujifungia ofisini, tukitoka tunaita waandishi wa habari,tunakashifu vyama,viongozi wa nchi,wa dini,wa taasisi,wasanii na wote wanaoiunga mkono CCM kana kwamba wanachofanya ni ni kosa kikatiba.,
Tuendelee kutafuta kuhurumiwa huku tunatangaza migomo na fujo kisha tunaomba michango mwisho tunagawana posho za ruzuku, tupanda V8 zetu nyumbani kutulia na familia zetu tukiendelea kufuatilia maoni ya wanachama wetu mitandaoni.wakati ccm wako mtaa kwa mtaa nyumba kwa nyumba wakihamasisha watu kujiandikisha na kuwaunga mkono!
Na hakika wanawapata! Maana
Siasa ni sanaa na sanaa ni kazi! Naona wengi wapo kazini kushawishi,wachache wanatia huruma kukashifu na kutukana(timing mbovu kabisa).
Muda ambao unatakiwa kuji-brand unampaisha mshindani kwa kumtajataja kila ulipo.
Mgonjwa hakatai dawa, akikataa dawa ujue hali ni mbaya!
Mida!
Ndio ccm kuna fursa kuanzia juu mpaka chini!Ndo akili zenu zilipoishia huko CCM.
Eti CCM kuna fursa za vijana! Fursa gani?
Au unanadhani hatuoni hao vijana wanaorubiniwa huko wanavyopigika mitaani kwa kukosa ajira? Mnavyowatumia kama toilet paper kuwajaza kwenye mikutano kwa posho mnazoiba kwenye hamlashauri ndo fursa?
Kama huko Ccm kungekuwa na fursa vijana wangelia kukosa ajira?
Eti Chama chake kina watu wengi hamkubali? Wapi kwenye chaguzi huru na haki mtu anakubaliwa kwa asilimia 100%?
Kama hawamkubali kwenye chama chake wekeni hiyo Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya tuone kwa jinsi gani watanzania hawamkubali.
Yaani chama fulani kimpe ushindi mshindwa wa chama kingine kwa hisani!Uhuru wa tume umeupima kwa vigezo gani, kutangazwa Lisu mshindi haiwezi kuhalalisha uhuru wa tume, inaweza ikawa hisani tu ili kuwafumba macho wananzengo.Haki ya kweli ya kiuchaguzi itapatikana kwa uwepo wa tume iliyo huru.
Hakuna tume huru duniani inayoweza kutenda haki,tume bora lazima iwe haiko huru.LAZIMA IDHITIWE TENA IDHITIWE HASWA NA SHERIA,ili isiwe huru kufanya lolote lililo kinyume na haki,maana ikiwa huru itakuwa imepewa haki ya kufanya vyovyote na isifanywe lolote maana iko huru kisheria!..una hoja gani kuhusu Tume Huru ya uchaguzi?
..kwanini CCM haitaki kuunda Tume Huru ili uchaguzi uwe wa haki?
mbona ccm 90% hawamkubali saa100 ni kumi tu nabado amekazaKwanza,kwenye chama chake tu kuna watu zaidi ya 40% hawamkubali,hiyo imethibitika kwenye uchaguzi mkuu wa chama,hata kama atapambana kuwarudisha, hutawarudisha wote.wengine atakua nao ila hawatakua upande wake abadani,na huo ndio ukweli akubali ukatae!
Hoja ya kugomea uchaguzi na kutangaza kuzuia uchaguzi mapema hivi ni dalili ya uoga na kukubali kushindwa mapema sana,yani umetupa taulo hata kabla hujaingia ulingoni.maana kama hoja ni katiba na tume tu inabidi utuambie kwanza wakati ulipokua mbunge ulitangazwa mshindi kupitia katiba na tume za namna gani?
Je kama tume zilikua hazitendi haki,je na wewe ulipokua mbunge ubunge uliupata kinyume na haki? Tambua kuwa sibezi hitaji la katiba na tume bora yenye kujisimamia.ila kususia uchaguzi kwa hoja hiyo ni kichaka cheupe sana ikiwa viongozi wengi tu ukiwemo wewe mwenyewe ulitangazwa mshindi na tume hizo hizo tunazozilalamikia.
Vijana wengi saizi ni ccm tena CCM haswa,kwanini vijana wengi wanakua CCM,kwa sababu wanajionea ukiwa CCM kuna chochote kitu unapata,japo hili hutakubaliana nalo ila haitabadilisha ukweli.vijana saizi wanataka hela,na wanaelewa vyama vyote vina hela.wanaona vijana wenzao waliopo CCM wanavyopata hela na fursa,sasa yeye aendelee kufanya siasa za kuchangisha wanachama bila kuwaeleza fungu la ruzuku lime limefanya kazi gani! Ujinga una mwisho(sisemi kwa ubaya bali hoja).
Siasa ni watu na CCM inatafuta watu usiku na mchana,majumbani,makanisani,misikitini,michezoni.popote palipo na watu CCM ipo na ina watu wake hapo.na yote inayofanya CCM hakuna chama kinazuiliwa kufanya.nyinyi endeleeni kujifungia ofisini mkitoka mnatangaza migomo na kuwatukana wahamasishaji na washawishi wa ccm kuwa ni machawa.haya! Machawa hao hao wanasepa na kijiji! Mkija kushtuka kuwa mliokuwa mkiwabeza na kuwakashifu kumbe wana umuhimu, kumekucha!
Lingine niwambie CHADEMA kuwa wasiishi wakati uliopita,maana katika wakati huu wapenzi wao wengi iliokuwa nao chaguzi mbili mpaka tatu zilizopita,wengi wao wamevujwa mioyo sana na mienendo ya viongozi wao wa juu tatika hizo chaguzi,na ukweli wengi wamejiunga au wamehamia ccm na wengine kuchukia na kuachana kabisa na siasa.
Na kosa lingine analofanya mwenyekiti mpya CHADEMA ni kutangaza hadharani hahitaji muungano na chama kingine.anaamini yeye ndio yeye na anaweza peke yake,wakati hata ccm wanapambana kuungwa mkono na vyama vingine yeye anagoma.yaani unafanya siasa halafu hutaki watu wakuunge mkono.
CCM ukiona hawamtaki mtu ujue huyo mtu hawaungi mkono na amegoma kubadilika au kushawishika.
Na katika hili CCM wameweza sana,wamewekeza sana katika watu,wapo karibu sana na watu,kutoka ngazi ya taifa hadi ubalozi wa nyumba kumi,na inawalipa!
Huu ndio ukweli japo ni mchungu.
Sisi CHADEMA tuendelee kujifungia ofisini, tukitoka tunaita waandishi wa habari,tunakashifu vyama,viongozi wa nchi,wa dini,wa taasisi,wasanii na wote wanaoiunga mkono CCM kana kwamba wanachofanya ni ni kosa kikatiba.,
Tuendelee kutafuta kuhurumiwa huku tunatangaza migomo na fujo kisha tunaomba michango mwisho tunagawana posho za ruzuku, tupanda V8 zetu nyumbani kutulia na familia zetu tukiendelea kufuatilia maoni ya wanachama wetu mitandaoni.wakati ccm wako mtaa kwa mtaa nyumba kwa nyumba wakihamasisha watu kujiandikisha na kuwaunga mkono!
Na hakika wanawapata! Maana
Siasa ni sanaa na sanaa ni kazi! Naona wengi wapo kazini kushawishi,wachache wanatia huruma kukashifu na kutukana(timing mbovu kabisa).
Muda ambao unatakiwa kuji-brand unampaisha mshindani kwa kumtajataja kila ulipo.
Mgonjwa hakatai dawa, akikataa dawa ujue hali ni mbaya!
Mida!
Shida zipi hizo unazotaka zitatuliwe na Tume huru?Tume huru haiwezi tatua shida zetu
Kwanza,kwenye chama chake tu kuna watu zaidi ya 40% hawamkubali,hiyo imethibitika kwenye uchaguzi mkuu wa chama,hata kama atapambana kuwarudisha, hutawarudisha wote.wengine atakua nao ila hawatakua upande wake abadani,na huo ndio ukweli akubali ukatae!
Hoja ya kugomea uchaguzi na kutangaza kuzuia uchaguzi mapema hivi ni dalili ya uoga na kukubali kushindwa mapema sana,yani umetupa taulo hata kabla hujaingia ulingoni.maana kama hoja ni katiba na tume tu inabidi utuambie kwanza wakati ulipokua mbunge ulitangazwa mshindi kupitia katiba na tume za namna gani?
Je kama tume zilikua hazitendi haki,je na wewe ulipokua mbunge ubunge uliupata kinyume na haki? Tambua kuwa sibezi hitaji la katiba na tume bora yenye kujisimamia.ila kususia uchaguzi kwa hoja hiyo ni kichaka cheupe sana ikiwa viongozi wengi tu ukiwemo wewe mwenyewe ulitangazwa mshindi na tume hizo hizo tunazozilalamikia.
Vijana wengi saizi ni ccm tena CCM haswa,kwanini vijana wengi wanakua CCM,kwa sababu wanajionea ukiwa CCM kuna chochote kitu unapata,japo hili hutakubaliana nalo ila haitabadilisha ukweli.vijana saizi wanataka hela,na wanaelewa vyama vyote vina hela.wanaona vijana wenzao waliopo CCM wanavyopata hela na fursa,sasa yeye aendelee kufanya siasa za kuchangisha wanachama bila kuwaeleza fungu la ruzuku lime limefanya kazi gani! Ujinga una mwisho(sisemi kwa ubaya bali hoja).
Siasa ni watu na CCM inatafuta watu usiku na mchana,majumbani,makanisani,misikitini,michezoni.popote palipo na watu CCM ipo na ina watu wake hapo.na yote inayofanya CCM hakuna chama kinazuiliwa kufanya.nyinyi endeleeni kujifungia ofisini mkitoka mnatangaza migomo na kuwatukana wahamasishaji na washawishi wa ccm kuwa ni machawa.haya! Machawa hao hao wanasepa na kijiji! Mkija kushtuka kuwa mliokuwa mkiwabeza na kuwakashifu kumbe wana umuhimu, kumekucha!
Lingine niwambie CHADEMA kuwa wasiishi wakati uliopita,maana katika wakati huu wapenzi wao wengi iliokuwa nao chaguzi mbili mpaka tatu zilizopita,wengi wao wamevujwa mioyo sana na mienendo ya viongozi wao wa juu tatika hizo chaguzi,na ukweli wengi wamejiunga au wamehamia ccm na wengine kuchukia na kuachana kabisa na siasa.
Na kosa lingine analofanya mwenyekiti mpya CHADEMA ni kutangaza hadharani hahitaji muungano na chama kingine.anaamini yeye ndio yeye na anaweza peke yake,wakati hata ccm wanapambana kuungwa mkono na vyama vingine yeye anagoma.yaani unafanya siasa halafu hutaki watu wakuunge mkono.
CCM ukiona hawamtaki mtu ujue huyo mtu hawaungi mkono na amegoma kubadilika au kushawishika.
Na katika hili CCM wameweza sana,wamewekeza sana katika watu,wapo karibu sana na watu,kutoka ngazi ya taifa hadi ubalozi wa nyumba kumi,na inawalipa!
Huu ndio ukweli japo ni mchungu.
Sisi CHADEMA tuendelee kujifungia ofisini, tukitoka tunaita waandishi wa habari,tunakashifu vyama,viongozi wa nchi,wa dini,wa taasisi,wasanii na wote wanaoiunga mkono CCM kana kwamba wanachofanya ni ni kosa kikatiba.,
Tuendelee kutafuta kuhurumiwa huku tunatangaza migomo na fujo kisha tunaomba michango mwisho tunagawana posho za ruzuku, tupanda V8 zetu nyumbani kutulia na familia zetu tukiendelea kufuatilia maoni ya wanachama wetu mitandaoni.wakati ccm wako mtaa kwa mtaa nyumba kwa nyumba wakihamasisha watu kujiandikisha na kuwaunga mkono!
Na hakika wanawapata! Maana
Siasa ni sanaa na sanaa ni kazi! Naona wengi wapo kazini kushawishi,wachache wanatia huruma kukashifu na kutukana(timing mbovu kabisa).
Muda ambao unatakiwa kuji-brand unampaisha mshindani kwa kumtajataja kila ulipo.
Mgonjwa hakatai dawa, akikataa dawa ujue hali ni mbaya!
Mida!
ndio inavyojionyesha kwani wewe huoni? kila mtu mama mama, sio mtu mzima, au vijana wote mnaimba chorus moja, wale waliojipaka matope si ni vijana wa CCMKwa akili hizi ccm itatawala hata miaka 2000 ijayo. Kama ndo inadhani ipo hivyo basi pole sana nyumbu wewe.
Kwani nimeongea uwongo? nilichokizungumza ndicho kinachoonekanaAcha dharau
Ukimsikiliza Lisu ukiwa tungi nini? Kifupi masisiemu mmechangsnyikiwa na mtachsngsnyikiwa kweli kweli huyu TAL anajua kusimamia anachokiamini mambo hayatakua mepesi mjiandae kisaikolojia piaKwanza,kwenye chama chake tu kuna watu zaidi ya 40% hawamkubali,hiyo imethibitika kwenye uchaguzi mkuu wa chama,hata kama atapambana kuwarudisha, hutawarudisha wote.wengine atakua nao ila hawatakua upande wake abadani,na huo ndio ukweli akubali ukatae!
Hoja ya kugomea uchaguzi na kutangaza kuzuia uchaguzi mapema hivi ni dalili ya uoga na kukubali kushindwa mapema sana,yani umetupa taulo hata kabla hujaingia ulingoni.maana kama hoja ni katiba na tume tu inabidi utuambie kwanza wakati ulipokua mbunge ulitangazwa mshindi kupitia katiba na tume za namna gani?
Je kama tume zilikua hazitendi haki,je na wewe ulipokua mbunge ubunge uliupata kinyume na haki? Tambua kuwa sibezi hitaji la katiba na tume bora yenye kujisimamia.ila kususia uchaguzi kwa hoja hiyo ni kichaka cheupe sana ikiwa viongozi wengi tu ukiwemo wewe mwenyewe ulitangazwa mshindi na tume hizo hizo tunazozilalamikia.
Vijana wengi saizi ni ccm tena CCM haswa,kwanini vijana wengi wanakua CCM,kwa sababu wanajionea ukiwa CCM kuna chochote kitu unapata,japo hili hutakubaliana nalo ila haitabadilisha ukweli.vijana saizi wanataka hela,na wanaelewa vyama vyote vina hela.wanaona vijana wenzao waliopo CCM wanavyopata hela na fursa,sasa yeye aendelee kufanya siasa za kuchangisha wanachama bila kuwaeleza fungu la ruzuku lime limefanya kazi gani! Ujinga una mwisho(sisemi kwa ubaya bali hoja).
Siasa ni watu na CCM inatafuta watu usiku na mchana,majumbani,makanisani,misikitini,michezoni.popote palipo na watu CCM ipo na ina watu wake hapo.na yote inayofanya CCM hakuna chama kinazuiliwa kufanya.nyinyi endeleeni kujifungia ofisini mkitoka mnatangaza migomo na kuwatukana wahamasishaji na washawishi wa ccm kuwa ni machawa.haya! Machawa hao hao wanasepa na kijiji! Mkija kushtuka kuwa mliokuwa mkiwabeza na kuwakashifu kumbe wana umuhimu, kumekucha!
Lingine niwambie CHADEMA kuwa wasiishi wakati uliopita,maana katika wakati huu wapenzi wao wengi iliokuwa nao chaguzi mbili mpaka tatu zilizopita,wengi wao wamevujwa mioyo sana na mienendo ya viongozi wao wa juu tatika hizo chaguzi,na ukweli wengi wamejiunga au wamehamia ccm na wengine kuchukia na kuachana kabisa na siasa.
Na kosa lingine analofanya mwenyekiti mpya CHADEMA ni kutangaza hadharani hahitaji muungano na chama kingine.anaamini yeye ndio yeye na anaweza peke yake,wakati hata ccm wanapambana kuungwa mkono na vyama vingine yeye anagoma.yaani unafanya siasa halafu hutaki watu wakuunge mkono.
CCM ukiona hawamtaki mtu ujue huyo mtu hawaungi mkono na amegoma kubadilika au kushawishika.
Na katika hili CCM wameweza sana,wamewekeza sana katika watu,wapo karibu sana na watu,kutoka ngazi ya taifa hadi ubalozi wa nyumba kumi,na inawalipa!
Huu ndio ukweli japo ni mchungu.
Sisi CHADEMA tuendelee kujifungia ofisini, tukitoka tunaita waandishi wa habari,tunakashifu vyama,viongozi wa nchi,wa dini,wa taasisi,wasanii na wote wanaoiunga mkono CCM kana kwamba wanachofanya ni ni kosa kikatiba.,
Tuendelee kutafuta kuhurumiwa huku tunatangaza migomo na fujo kisha tunaomba michango mwisho tunagawana posho za ruzuku, tupanda V8 zetu nyumbani kutulia na familia zetu tukiendelea kufuatilia maoni ya wanachama wetu mitandaoni.wakati ccm wako mtaa kwa mtaa nyumba kwa nyumba wakihamasisha watu kujiandikisha na kuwaunga mkono!
Na hakika wanawapata! Maana
Siasa ni sanaa na sanaa ni kazi! Naona wengi wapo kazini kushawishi,wachache wanatia huruma kukashifu na kutukana(timing mbovu kabisa).
Muda ambao unatakiwa kuji-brand unampaisha mshindani kwa kumtajataja kila ulipo.
Mgonjwa hakatai dawa, akikataa dawa ujue hali ni mbaya!
Mida!
Mama je wote Wana CCM wanamkubali?Kwanza,kwenye chama chake tu kuna watu zaidi ya 40% hawamkubali,hiyo imethibitika kwenye uchaguzi mkuu wa chama,hata kama atapambana kuwarudisha, hutawarudisha wote.wengine atakua nao ila hawatakua upande wake abadani,na huo ndio ukweli akubali ukatae!

Moja ya shida ya wengi chadema ni hii,wanaamini kila anayeenda tofauti na mawazo yao au ya mwenyekiti wao ni ccm,wanakua hasira,matusi,kashfa na kuamini wanaweza hata kama wao ni wachache.Ukimsikiliza Lisu ukiwa tungi nini? Kifupi masisiemu mmechangsnyikiwa na mtachsngsnyikiwa kweli kweli huyu TAL anajua kusimamia anachokiamini mambo hayatakua mepesi mjiandae kisaikolojia pia
Hata mama hatumpendi sisi sisiemu ila nani atamfunga paka kengereKwanza,kwenye chama chake tu kuna watu zaidi ya 40% hawamkubali,hiyo imethibitika kwenye uchaguzi mkuu wa chama,hata kama atapambana kuwarudisha, hutawarudisha wote.wengine atakua nao ila hawatakua upande wake abadani,na huo ndio ukweli akubali ukatae!