Lissu amshukia Lowassa

Mwaka 2014 wakati uzi huu unatua JF wewe Le mutuz ndiyo ulikuwa busy na ukuadi kumendea vitoto kwenye matamasha ya school bash kwenye kumbi za Clouds
 
Lakini mnajua watu wanaoamini katika Sera za ubepari? Sera za ubepari hazimtambui masikini kwa %90 wao Pesa mbele ukiwa Na Pesa utathamnia ndio sera zao. Pesa ndani ya mbepari utapea nafasi yoyote ya kugombea

Usishangae cdm kumpokea lowasa Na kumpa nafasi ya kugombea
Walimnyima MTU ambae walishamuandaa kwa miaka mingi ili aje agombee urais
Mbowe sera za kibepari ameweka mbele kwa sababu anajua Luna faida
Sera za kibepari hazina tofauti Na sera za makanisa ya kipentecost kitu cha jumuia huwa kina kua cha MTU mmoja badala ya jumuia
Anagalia sera za Manisa la roman anglicana in tofauti Na sera za Pentecost Manisa no Mali ya MTU. Sio Mali ya tasisi
 
Hahaha jembe lisu, sasa linamsapoti lowasa hahahaha, wapinzani wa bongo buana
 
Waliokuwa wakimtete ndio hao akina msalani aka mussa Allan na wengi amehama nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The pen is mightier than the sword wengi nadhani hawakuamini hali iliyopo sasa, waliandika mengi ambayo hayawezi kufutika kwasasa , ni vipi embe limeshadondoka kulirudisha mtini? ipo kazi kurudisha status quo ya mtu ambaye mliandika mabaya yake na sasa ni wenu si wao.
 
Wana siasa wabongo wamegeuza vijana kuwa mitaji yao wore mwezi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…