Lissu amshukia Lowassa

Fumbo mfumbie mjinga, lakini tahadhari usijekuwa unajifumbia mwenyewe. Wajinga ndio waliwao
 
umebadili gia angani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya 2014 hayawezi kukuza uchonganishi propaganda za CCM
 
Haya mambo ya 2014 hayawezi kukuza uchonganishi propaganda za CCM
Wewe ni ulipo tupo ndio maana unaona huu ni uchonganishi ....mmetuharibia Chama chetu tunaonekana matapeli ....waongo ....hatuaminiki ...tunatetea mafisadi n.k ....mmefanya vijana wa mitandaoni wapate shida sana kukitetea chama tofauti na before 2015 ambapo tulitawala mitandao yote ....
 
We mnafiki sana. Kwani alieadika amelazimishwa na CCM?

Tufanye wenyewe harafu tulaumu wengine. Haya ndo yanatafuna upinzani wa TANZANIA. SAHIZI TUNATAKA TUWE KAMA KENYA WAKATI TUNAFANYA TOFAUTI NA KENYA!!!!!
Kumbe nini? Yaani propaganda za CCM umezikubali?
 
Kumbe nini? Yaani propaganda za CCM umezikubali?
propaganda ipo wapi na mimi ninakiamini chama na lissu mpaka ninapoandika bado naamini lowassa ni fisadi ila hajapata nafasi ruzuku ya chama ni ndogo hawezi kuiba!
 
Chama hakijaharibika kwani chama kina wabunge wengi kina madiwani wengi mpaka CCM wameamua kuwanunua ili wajiuzulu, mafisadi gani? Richmond ni ya kikwete tayari Lowasa alishaabika Ukweli wote, usikariri propaganda za CCM ya miaka ile ambayo ilimchafua Lowasa ikawapelekea chadema data za uongo dhidi ya lowasa, hakuna anayeharibu chama kuonekana tapeli utakuwa peke yako na hakuna shida kujibu chochote mitandaoni kwani wenye Akili wanajua Ukweli kuwa awamu ya sasa ya Mtukufu malaika toka chato inatumia pesa za viwanda, kodi, safari za nje nk kudhoofisha upinzani ndiyo maana hakuwa maendeleo licha ya kujinadi wanakusanya kodi nyingi.
 
propaganda ipo wapi na mimi ninakiamini chama na lissu mpaka ninapoandika bado naamini lowassa ni fisadi ila hajapata nafasi ruzuku ya chama ni ndogo hawezi kuiba!
Umekariri propaganda mpaka unakufa ni hatari sana, Tambua kuwa Richmond ni ya kikwete na uamini kuwa Pato la Taifa kule hazina lote Linaenda kwa Lipumba kwa ajili ya kuua CUF na kudhoofisha upinzani ndiyo maana hakuna maendeleo thamani ya shilingi inazidi kushuka dhidi ya dola hakuna cha viwanda wala nini pesa zote anakula lipumba kujenga Chato na mambo ya hovyo hovyo tu huko CCM.
 
Pesa pesa pesa
Zote anakula Lipumba kusanyeni kodi kwa wingi lakini mjue pesa yote atapewa Lipumba ili azitumie kitoa Rishwa mahakamani kuwalipa mawakili, kamati za Ufundi na vikundi vya kumlinda
 
mimi ni mwanachama wa chadema mwaminifu na mtiifu tangu mwaka 1995 na sitaki kwenda tofauti na kauli ya chama na viongozi wangu wa chadema kwenye viwanja vya mwembe yanga!
 

Alafu uliishia kutukanwa kwa kuongea ukweli.
 
Duu huu uzi kama wa 3 wa kitambo wa Yericko unaibuliwa...acheni kufukua makabuli jamani..
 
Le mbabaz uliyajua haya mapema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…