Lissu amshukia Lowassa

Lisu jamani hajapona msaidieni kupata dawa au kumalizia dozi ile aliyopewa na kigwangala.

wewe unapoteza muelekeo,uzi wa juzi uliwaponda wanaomshabikia EL kua wanajipendekeza.sasa na wewe mbona unajipendekeza?
 
wewe unapoteza muelekeo,uzi wa juzi uliwaponda wanaomshabikia EL kua wanajipendekeza.sasa na wewe mbona unajipendekeza?

tatizo la huyu simiyu utadhan mimba iliyotungwa nje ya kizaz,haeleweki
 
Hizi chokochoko za Lisu zimetuchosha kila siku ni malalamiko, ameshindwa kutoa mawazo chanya nikiona Uzi najua ni ufisadi hana jipya.
 
hili suala la siasa za kidini hazifai kwenye nchi yetu wasije2letea mpasuko baina ya dini kwa dini
 
Kuna watu(magamba) siwaelewi kabisa humu jamvin, wanajibu kila post zaid ya mara 20, hawana majukum hau?

Mkuu kwa nini useme hawana majukumu wakati hayo ndio majukumu yao? Ujira wa Elfu saba kwa siku ndio wanao utumikia. Wako kazini hapo hivyo usishangae. Ila sharti la ajira hiyo ni kuwa unaacha akili yako nyumbani kabla ya kuja Lumumba kujumuika na wenzio kazini.
 
Le Mutuz Mtela huendi tena 2015?
 
Siasa safi ndio nguzo yetu chadema
Kaka malizia kabisa SIASA SAFI NA UONGOZI BORA ndiyounaifanya CDM ipedwe na wananchi wa kila rika nchini.
 

Vipi kuhusu vijana wa Kitanzania 160 wanaoaminika kunyongwa huko China...
 
Tundu lissu ni miongoni mwa watu wenye sura mbili..........i dont trust him kabisaaa..........
 
Huyu lisu nae ni mnafik haioni chadema nayo ilivyojaa wachungaji . Chukua mfano dr slaa huyu ni ana doctorine ya theologia . Ungozi wao wote top level ni hao hao asimlaumu wakat chadema ipo kikanda na viongoz wao pia ni wakristo wote
 
Lisu jamani hajapona msaidieni kupata dawa au kumalizia dozi ile aliyopewa na kigwangala.

Hata kama wewe ni CCM huoni kwamba alichoongea Lisu kina maana, wakati mwingine jaribu kuacha uccm wako angalia hoja hata km imeletwa na mtu sio wa chama chako, CCM itaondoka Tanzania itabaki palepale.Au nyie mna nchi ya kukimbilia pindi yanapotokea machafuko?
 

kojoa ukalale kbaraka wa ufpa...Lowasa ndye rais wetu
 
Hivi wewe jerko ni muhudumu wa kaunta bilss au jkon cz saa sta tunajua anakula jkon kwa mbowe anashnda kwa membe
 

Lisu yeye anayaona ya Lowasa tu,ila yake na ubunge wake hayaoni
amezuia wananchi wake wasichangie maendeleo ya aina yeyote ktk jimbo lake na bado kuna matatizo kibao ktk jimbo lake likiwemo tatizo la maji na hospital,barabara na mambo mengine mengi tu.
anatakiwa kwanza kuwapelekea maendeleo watu wake kisha ahoji haya anayohoji sasa baada tu ya wapiga kura wake kufaidi uwepo wake ktk jimbo analoliongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…