Chama chakavu na wanachama wake akili zao pia zimechakaa, ogopa wala rambi rambi.Najua umezeeka lakini sikutarajia utazeeka haraka hivi. Hii post yako ni ya kizee mno.
Nimeshtuka, eti kuna MTU kasema kukatika kwa daraja LA reli pale Ruvu na kugundulika mapema kabla ya treni ya Kigoma kupita kumewasikitisha Lumumba maana kingekuwa chanzo kikuu cha mapatoNi kama CCM haina pesa tena inaishia kukaba kwenye rambirambi.
Yumo katulia tuliiKwenye hiyo mbeleko Lissu aliyobebea chadema na Lowassa yumo?
Mwaka huu tutaogopa hata kununua mboga za majani zenye rangi ya kijani na njano kama mambo yenyewe ndo haya. Nitakula kabeji tu.Nimeshtuka, eti kuna MTU kasema kukatika kwa daraja LA reli pale Ruvu na kugundulika mapema kabla ya treni ya Kigoma kupita kumewasikitisha Lumumba maana kingekuwa chanzo kikuu cha mapato
Nimeshtuka, eti kuna MTU kasema kukatika kwa daraja LA reli pale Ruvu na kugundulika mapema kabla ya treni ya Kigoma kupita kumewasikitisha Lumumba maana kingekuwa chanzo kikuu cha mapato