Lissu adhibitiwe, asije kuwa anatafuta ufadhili wa mabeberu aingie msituni

Unaijua Araba springs wewe akili ndogo?Kwa nini wananchi waliandamana kuwataka viongozi wao madikteta waondoke madarakani Tunisia,Misri na sasa Syiria nchi ambazo hazina hayo mafuta kama Libya kama mlivyolishwa hayo matango pori?
Mohamed Morsi aliyiengia Madarakani Misri baada ya maandamano alikuwa kibaraka wa hao mabeberu?
Lissu ni mtu hatari
Mambeberu yameleta machafuko sana katika nchi za africa na uarabuni kwa kufadhili vikundi vya uasi. Huyu lissu anapoelekea siko, Raisi wetu amewabana mabeberu wanyonyaji kwahivo wanamchukia sana, sasa tundu lissu isije ikawa mambo ya libya ya kuwa anatafuta ufadhili ili aingie msituni ili tu kikidhi ulafi wake wa madaraka.

Lissu ni mtu hatari katika taifa hili lenye amani na rasilimali zinazowatoa mate mabeberu.

Mimi nilikuwa upinzani, lakini lissu anatupeleka pabaya, hatari hawa wanaomtetea wanaweza kuja kujuta Baadae
 
Bora msituni na Lisu mara Mia kuliko huku mlikotufikisha kwenye viroba Coco Beach tunaozeana tu.
 
Ngoja njaa imkute huko ulaya. Atachanganyikiwa zaidi.
Hayo makalio yatasinyaa sasa hivi formula na pampas za mwanao Chupa aka mchina mbegu ya sindano itabidi Aisha kwenye mapan go maana Lissu anajuwa wewe bashite na baba yako Magu munamchecheto mpaka amalize vyombo 22 mutajiju
 
Lissu ni mtu hatari
Mambeberu yameleta machafuko sana katika nchi za africa na uarabuni kwa kufadhili vikundi vya uasi. Huyu lissu anapoelekea siko, Raisi wetu amewabana mabeberu wanyonyaji kwahivo wanamchukia sana, sasa tundu lissu isije ikawa mambo ya libya ya kuwa anatafuta ufadhili ili aingie msituni ili tu kikidhi ulafi wake wa madaraka.

Lissu ni mtu hatari katika taifa hili lenye amani na rasilimali zinazowatoa mate mabeberu.

Mimi nilikuwa upinzani, lakini lissu anatupeleka pabaya, hatari hawa wanaomtetea wanaweza kuja kujuta Baadae
Hivi mna uwezo wa kumdhibiti akiwa huko nje?! Au umeamua kuongea tu.
 
kwa kuwa anatetea lililo haki lazima ataungwa mkono tu na wapenda haki,hivi nyinyi amuoni wastaafu wanavyoteseka kwa kutolipwa mafao yao?
 
Ondoa shaka, mwache apige domo uko nje atafute sapoti lakini Mabeberu bado yanaunga mkono CCM.

Amuulize Maalim Seif alivozungushwa na mabeberu
 
Back
Top Bottom