Lissu adhibitiwe, asije kuwa anatafuta ufadhili wa mabeberu aingie msituni

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,973
3,906
Lissu ni mtu hatari
Mabeberu yameleta machafuko sana katika nchi za Afrika na uarabuni kwa kufadhili vikundi vya uasi. Huyu Lissu anapoelekea siko, Rais wetu amewabana mabeberu wanyonyaji kwahivo wanamchukia sana, sasa Tundu Lissu isije ikawa mambo ya Libya ya kuwa anatafuta ufadhili ili aingie msituni ili tu kikidhi ulafi wake wa madaraka.

Lissu ni mtu hatari katika taifa hili lenye amani na rasilimali zinazowatoa mate mabeberu.

Mimi nilikuwa upinzani, lakini Lissu anatupeleka pabaya, hatari hawa wanaomtetea wanaweza kuja kujuta Baadae
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu aingie msituni kufanya nini. Tanueni uwanja refa awe fea muone kilichomtoa kanga manyoya
Lissu ni mtu hatari
Mambeberu yameleta machafuko sana katika nchi za africa na uarabuni kwa kufadhili vikundi vya uasi. Huyu lissu anapoelekea siko, Raisi wetu amewabana mabeberu wanyonyaji kwahivo wanamchukia sana, sasa tundu lissu isije ikawa mambo ya libya ya kuwa anatafuta ufadhili ili aingie msituni ili tu kikidhi ulafi wake wa madaraka.

Lissu ni mtu hatari katika taifa hili lenye amani na rasilimali zinazowatoa mate mabeberu.

Mimi nilikuwa upinzani, lakini lissu anatupeleka pabaya, hatari hawa wanaomtetea wanaweza kuja kujuta Baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mtu kuelezea the way amepigwa risasi ni kosa?
Au makosa ya lisu ni nn
 
Lissu ni mtu hatari
Mambeberu yameleta machafuko sana katika nchi za africa na uarabuni kwa kufadhili vikundi vya uasi. Huyu lissu anapoelekea siko, Raisi wetu amewabana mabeberu wanyonyaji kwahivo wanamchukia sana, sasa tundu lissu isije ikawa mambo ya libya ya kuwa anatafuta ufadhili ili aingie msituni ili tu kikidhi ulafi wake wa madaraka.

Lissu ni mtu hatari katika taifa hili lenye amani na rasilimali zinazowatoa mate mabeberu.

Mimi nilikuwa upinzani, lakini lissu anatupeleka pabaya, hatari hawa wanaomtetea wanaweza kuja kujuta Baadae
Anatafuta sababu za kupata ukimbizi wa kisiasa huyo. Hana lolote zaidi.
 
Wao kama mabeberu sisi ni mijike ya mbuzi wacha wayufanye wawezavyo. Hali ngumu ya uchumi tuliyonayo, viwanda tulivyouza ni lisu ma trillion yanayopotea ni lisu na mabeberu. Kangomba ya korosho ni lisu anasababisha. Barabara ya vumbi kwenda nachingwea hadi watu wanajifungulia njiani lisu. Elimu ya mitaala mibovu lisu. Kupanda kwa gharama za hospital ni lisu ccm ipo madarakani sijui mwaka wa ngapi huu haifanyi chochote cha maana ni sababu ya lisu kuongea na mabeberu?
Kaka mabeberu c watu wanaokutakia mema, wanamfanya lissu kibaraka wao wa kuleta machafuko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu ni mtu hatari
Mambeberu yameleta machafuko sana katika nchi za africa na uarabuni kwa kufadhili vikundi vya uasi. Huyu lissu anapoelekea siko, Raisi wetu amewabana mabeberu wanyonyaji kwahivo wanamchukia sana, sasa tundu lissu isije ikawa mambo ya libya ya kuwa anatafuta ufadhili ili aingie msituni ili tu kikidhi ulafi wake wa madaraka.

Lissu ni mtu hatari katika taifa hili lenye amani na rasilimali zinazowatoa mate mabeberu.

Mimi nilikuwa upinzani, lakini lissu anatupeleka pabaya, hatari hawa wanaomtetea wanaweza kuja kujuta Baadae
YALIOYOFANYWA DHIDI YA LISU ,SAANANE,AZORI,KWENYE VIROBA MAITI,KUTEKWA MO DEWJI.

PIA KUTOJULIKANA TRION 1.5 NA ZAIDI NDIO HATARI KWA TAIFA NA SIO LISSU
 
Lissu ni mtu hatari
Mambeberu yameleta machafuko sana katika nchi za africa na uarabuni kwa kufadhili vikundi vya uasi. Huyu lissu anapoelekea siko, Raisi wetu amewabana mabeberu wanyonyaji kwahivo wanamchukia sana, sasa tundu lissu isije ikawa mambo ya libya ya kuwa anatafuta ufadhili ili aingie msituni ili tu kikidhi ulafi wake wa madaraka.

Lissu ni mtu hatari katika taifa hili lenye amani na rasilimali zinazowatoa mate mabeberu.

Mimi nilikuwa upinzani, lakini lissu anatupeleka pabaya, hatari hawa wanaomtetea wanaweza kuja kujuta Baadae
Kumbe na wewe ulikuwa mpinzani? Ulikuwa unapinga nn?
 
Kila siku mnasema mabeberu. Kwa hiyo wewe ni mijike ya mabeberu?
 
A
Lissu ni mtu hatari
Mambeberu yameleta machafuko sana katika nchi za africa na uarabuni kwa kufadhili vikundi vya uasi. Huyu lissu anapoelekea siko, Raisi wetu amewabana mabeberu wanyonyaji kwahivo wanamchukia sana, sasa tundu lissu isije ikawa mambo ya libya ya kuwa anatafuta ufadhili ili aingie msituni ili tu kikidhi ulafi wake wa madaraka.

Lissu ni mtu hatari katika taifa hili lenye amani na rasilimali zinazowatoa mate mabeberu.

Mimi nilikuwa upinzani, lakini lissu anatupeleka pabaya, hatari hawa wanaomtetea wanaweza kuja kujuta Baadae
Achana na mabeberu we enɗelea na ujenzi wa SGR, viwamɗa na Stigler's Gorge! Au wameshaanza ƙuwakwamisha!?
 
Lissu ni mtu hatari
Mambeberu yameleta machafuko sana katika nchi za africa na uarabuni kwa kufadhili vikundi vya uasi. Huyu lissu anapoelekea siko, Raisi wetu amewabana mabeberu wanyonyaji kwahivo wanamchukia sana, sasa tundu lissu isije ikawa mambo ya libya ya kuwa anatafuta ufadhili ili aingie msituni ili tu kikidhi ulafi wake wa madaraka.

Lissu ni mtu hatari katika taifa hili lenye amani na rasilimali zinazowatoa mate mabeberu.

Mimi nilikuwa upinzani, lakini lissu anatupeleka pabaya, hatari hawa wanaomtetea wanaweza kuja kujuta Baadae

Sielewi kuwa unajua mantiki ya ulichokiandika hapa. Kwa kifupi japo umezusha mambo lakini umekiri uwezo na ushawishi alio nao Tundu Lissu. Kwa maana nyingine umetuthibitishia hofu ya jiwe juu ya huyo uliemtaja.
 
Back
Top Bottom