Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,639
Ukieleza kesi "iharakishwe" na hukumu ikawa ni TAML kunyongwa hadi kufa itakuwaje?Lissu aachiwe huru au kesi iharakishwe.
Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ.
PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ kulinda amani wakati wa Uchaguzi. Namna hiyo Wapinzani wanaweza kuwa na imani kufanya Uchaguzi.
Resolution nzuri sana hii JWTZ angalau wanaaminika. Ianzishie Uzi wake mkuu.Lissu aachiwe huru au kesi iharakishwe.
Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ.
PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ kulinda amani wakati wa Uchaguzi. Namna hiyo Wapinzani wanaweza kuwa na imani kufanya Uchaguzi.
why JWTZ? Kwani nani anategemewa kuleta fujo? why fujo? Mimi nafikiri hawa walipashwa mpaka leo kuhakikisha kuwa Tanganyika yetu haijauzwa kwa waarabu!PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ kulinda amani wakati wa Uchaguzi
Lissu aachiwe huru au kesi iharakishwe.
Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ.
PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ kulinda amani wakati wa Uchaguzi. Namna hiyo Wapinzani wanaweza kuwa na imani kufanya Uchaguzi.
Jwtz hawahawa walio kula tenda ya kisambaza vibaiskeli vyakijani nchi nzima wanashushabusiku usiku..???au jwtz wapiLissu aachiwe huru au kesi iharakishwe.
Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ.
PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ kulinda amani wakati wa Uchaguzi. Namna hiyo Wapinzani wanaweza kuwa na imani kufanya Uchaguzi.
Naona unataka serikali ya kijeshiLissu aachiwe huru au kesi iharakishwe.
Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ.
PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ kulinda amani wakati wa Uchaguzi. Namna hiyo Wapinzani wanaweza kuwa na imani kufanya Uchaguzi.
Wewe ndio pumbavu wa mwisho hata kama upo chomboni.Nyie hamna nguvu yakutushinda CCM, si tunakila kitu.
Tunakubalika tuko na wanachama hai zaid ya million 12, tunawasomi kushinda hao mnasema wanaweza waletea kombe hapa,
tunapendwa na wananchi masikini sio nyie mnaona mnapata ugali mnataka mvuruge amani yetu kwa kuanza kuteka watu mki gaslight people ety ni CCM wanafanya.
Nyie hamfai kabisa
Rufaa itahusika, lissu ni hazina kwa taifa letuUkieleza kesi "iharakishwe" na hukumu ikawa ni TAML kunyongwa hadi kufa itakuwaje?
Tanzania sio wanyongaji…. Atatoka tuUkieleza kesi "iharakishwe" na hukumu ikawa ni TAML kunyongwa hadi kufa itakuwaje?
Aachiwe huru yeye kama nani? Yuko Juu ya sheria au afanyiwe hukumu ya Haki?Lissu aachiwe huru au kesi iharakishwe.
Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ.
PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ kulinda amani wakati wa Uchaguzi. Namna hiyo Wapinzani wanaweza kuwa na imani kufanya Uchaguzi.
wapinzani gani hao ambao hawana imani na Taasisi za umma hususan za kusimamia michakato ya kidemokrasia.Lissu aachiwe huru au kesi iharakishwe.
Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ.
PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ kulinda amani wakati wa Uchaguzi. Namna hiyo Wapinzani wanaweza kuwa na imani kufanya Uchaguzi.
yaani nchi ipinduliwe kama ilivyopinduliwa chadema na dereva mropokaji asie na maono right?Dawa ya CCM ni kuipindua nch...
Hakuna loloteLissu aachiwe huru au kesi iharakishwe.