Lipumbu ndo lingefuata

Status
Not open for further replies.

kinyangesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
247
Reaction score
86
Ni wazi kuwa timu ya simba toka nchini Tanzania ilizidiwa sana kimchezo leo hadi kuzabwa magoli 4 bila ya afadhali. kama mtanzania imeniuma sana lakini nimeumia zaidi kusikia kuwa kama ingepita leo kwa kuifunga LIBOLO toka angola ingekutana na LIPUMBU ya msumbiji, je wewe ungejisikiaje?:A S-heart-2:
 
Hiyo kali,kuna mwana jf alishatabiri kichapo kwa simba kwani kocha julio aliogopa utajiri wa libolo!simba ni timu ya malkia wa nyuki
 
so unashangaa? ila inasemekana wao si wakali kama LIBOLO
😛layball:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…