Lipumba lazima atafute pa kugusia ili kidogo aonekane kwenye tv coz ni cku nyingi tangu afunge ndoa yake na ccm ameshindwa kuwika kisiasa hata zanzibar hawakubaliki tena cuf wamebakia kuwa makanjanja wa kisiasa,,hivyo anaona akishikilia bango la sheikh ponda labda ataanza kufufuka kisiasa hivyo usimshangae huyu mzee maji yako shingoni.