Hakika sasa imejidhihirisha wazi kkuwa kuludi kwa Lipumba CUF hhalikuwa swala LA Bahati mbaya bali ni mkakati maalumu wa CCM kuhakikisha kuwa wanaendelea kubali madarakani kwa kudhoofisha nguvu ya UKAWA.
Kama alivyosema Lowassa kuwa kuimarika kwa ukawa kulikua kunawatia hofu sana CCM na mara kwa mara alikua anawaonya watu kuulinda sana ukawa,jambo ambalo hata ccm walijua hivyo.
Matokeo ya uchaguzi ndogo uliofanyika Jana umedhihirisha hilo kuwa kama ukawa ingekuwepo basi upinzani ungeweza kuinyang'anya ccm vitu zaidi ya 8.
Hapa sasa sijui ni nani mpenda mageuzi anaweza kuja tena na kumtetea Lipumba. Sisi tuliona mbali kidogo na kuwataadharisha watu kuhusu Lipumba lkn kuna baadhi walibeza jambo hili.
Ushauri wangu kwa wana CUF wapenda mageuzi kuunganisha nguvu na kumung'oa lipumba kwa nguvu. Najua kuwa analindwa na dola lkn kwa usalama wa upinzani itumike nguvu ya jasho na damu kumuondoa nyoka huyu na kwa kuanzia ni kumtoa ofisini.
Kinyume cha hapo CUF inaangamia na upinzani utazorota.