Ndani ya UKAWA kwa sasa mtu mwenye lugha ya utawala ni Dr Slaa,na baadae naona mtatiro,wenje,halima mdee,mnyaa,kafulila.Ilala kwa sasa hapa tz hakuna anayemfikia slaaTatizo kubwa la wapinzani nchini wanahangaika zaidi na yanayotokea ndani ya CCM badala ya kuhangaika na mambo ya wananchi na yale yaliyoko ndani ya vyama vyao vya upinzani. Wapinzani wanajadili waliotangaza nia CCM badala ya kuanza mapema kuongelea nani anafaa kuwa mgombea wao 2015 dhidi ya mgombea atakaeteuliwa na CCM (Lowassa? Sitta? Membe? Pinda? Mwigullu? Sumaye? Wassira? Makamba? Nyarandu? Kigwangala?, Migiro? Makinda? au.....?). Ni vema hata vyama vya upinzani kuanza kujitokeza kutangaza nia ili watu waanze kuwajadili kidogokidogo.
Upinzani ina Professor LImbumba hadi sasa ambaye ana haiba ya kugombea urais 2015. Lipumba hana kashifa yoyote mbaya kwenye jamii itakayoweza kutumiwa na wagombea wengine kumpinga. Lipumba hana tamaa, hana ukabila wala udini ni mwislamu wa kawaida tu anayemcha mungu, ni msomi na mchumi, na hajawahi kunyang'anya mke wa mtu.
Kama UKAWA ikimuandaa vizuri Lipumba, kumpamba na kumuunga mkono kwa hali na mali anaweza kushindana na mgombea yeyote kutoka CCM.
Mungu alishatoa maelekezo kwa kanisa katoliki kuwa slaa kalaaniwa mbinguni na duniani.Ndani ya UKAWA kwa sasa mtu mwenye lugha ya utawala ni Dr Slaa,na baadae naona mtatiro,wenje,halima mdee,mnyaa,kafulila.Ilala kwa sasa hapa tz hakuna anayemfikia slaa
Ndani ya UKAWA kwa sasa mtu mwenye lugha ya utawala ni Dr Slaa,na baadae naona mtatiro,wenje,halima mdee,mnyaa,kafulila.Ilala kwa sasa hapa tz hakuna anayemfikia slaa
Mungu alishatoa maelekezo kwa kanisa katoliki kuwa slaa kalaaniwa mbinguni na duniani.
Nimetaja sifa za Lipumba, taja sifa za Slaa kama kweli unataka kuisaidia UKAWA. Hatusemi Dkt. Slaa hafai ila tunataka anayefaa zaidi kwa kupitia mijadala kama hii. Tunajenga nyumba moja haifai kugombea fito.
Muda ukifika tutajadili kwanza zoezi tulilonalo ni kuhamasisha wananchi wajue UKAWA na kukataa Katiba ya CCM hatutaki kuanza kupaluana kama CCM kwanza lazima tuunde mfumo mzuri wa uteuzi badala ya fujo
Ila kama umetumwa na CCM pole sisi tutachagua mgombea wetu vizuri hata Mbati au Lwetama
Tutamchagua mama yako apeperushe bendera ya ukawa usiogope ...Mgombea atakuwa rais wa watanzania wote atahitaji kura za watu wote sio wana ukawa tu, ni vema watanzania wakamjua rais wao mtarajiwa mapema ili wawe na muda mrefu wa kumjadili.
Tatizo kubwa la wapinzani nchini wanahangaika zaidi na yanayotokea ndani ya CCM badala ya kuhangaika na mambo ya wananchi na yale yaliyoko ndani ya vyama vyao vya upinzani. Wapinzani wanajadili waliotangaza nia CCM badala ya kuanza mapema kuongelea nani anafaa kuwa mgombea wao 2015 dhidi ya mgombea atakaeteuliwa na CCM (Lowassa? Sitta? Membe? Pinda? Mwigullu? Sumaye? Wassira? Makamba? Nyarandu? Kigwangala?, Migiro? Makinda? au.....?). Ni vema hata vyama vya upinzani kuanza kujitokeza kutangaza nia ili watu waanze kuwajadili kidogokidogo.
Upinzani ina Professor LImbumba hadi sasa ambaye ana haiba ya kugombea urais 2015. Lipumba hana kashifa yoyote mbaya kwenye jamii itakayoweza kutumiwa na wagombea wengine kumpinga. Lipumba hana tamaa, hana ukabila wala udini ni mwislamu wa kawaida tu anayemcha mungu, ni msomi na mchumi, na hajawahi kunyang'anya mke wa mtu.
Kama UKAWA ikimuandaa vizuri Lipumba, kumpamba na kumuunga mkono kwa hali na mali anaweza kushindana na mgombea yeyote kutoka CCM.