Lipumba alitakiwa amuunge mkono Dr. Slaa
20 years hata hakati tamaa, usije shangaa na 2015 akagombea tena huyu jamaa, Uroho au Unini huu LIPUMBA?
Lipumba angetumia busara kwa kuungana na Slaa wee mwaka wa 15 huu unaambulia patupu bado unakomaa
Lipumba hana nyota ya kupendwa,wananchi hatumpendi aachane na uraisi arudi darasani kufundisha
Sasa tuone huyo Slaa naye anambulia "patupu" ama "pajaa". Na busara ni kama two-way traffic. How about Silaa kumuunga mkono Prof. Lipumba?
Wewe Al queda kwa nini usiende Yemen kujilipua unasumbua hapa. Kama Yemen hupendi nenda afghanistan