Acha uongo.Lipumba ana wafuasi wengi kuliko Lisu ndiyo maana hajakimbilia kwenda kulishwa bure Ubelgiji
Ndie alikuwa mpinzani wa kwanza kushtukia mipango ya CCM kusimamisha wagombea wawili katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, baada ya Kikwete kuambiwa kuwa chama kitamfia mikononi, na lisemwalo likielekea kutimia ndo akaja na mpango madhubuti ambao ulizaa matunda tulioyaona mwaka ule. So jamaa ana maono sana maana aliyosema yalitimia na baada ya kazi kukamilika alietumwa (Lowasa) alirudi alipotoka.Hivi kuna mwenye akili timamu anaweza kumsikiliza Lipumba ?
Jikite kwenye hoja
We umeona anahoja?Jikite kwenye hoja yake
Kabisa mkuuNdie alikuwa mpinzani wa kwanza kushtukia mipango ya CCM kusimamisha wagombea wawili katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, baada ya Kikwete kuambiwa kuwa chama kitamfia mikononi, na lisemwalo likielekea kutimia ndo akaja na mpango madhubuti ambao ulizaa matunda tulioyaona mwaka ule. So jamaa ana maono sana maana aliyosema yalitimia na baada ya kazi kukamilika alietumwa (Lowasa) alirudi alipotoka.