Lipumba asipomsikiliza mzee Rungwe atageuka jiwe la chumvi

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,520
86,081
Kwenye kipindi cha EATV - Kurasa jioni hii Mzee Rungwe aliyekua mgombea Urais kwenye uchaguzi uliopita amemshauri Lipumba aondoke CUF na arejee mtaani na kwamba asiogope maisha ya mtaani!!

Kama Lipumba hata msikiliza Mzee Rungwe basi huyu atakua jiwe sio Lipumba tena! Mzee Rungwe ametoa ushauri mzuri sana kuwa Lipumba alikimbia mapigano, alikimbia jahazi likiwa liko kwenye dhoruba Kali, iweje Leo atake kurudi tena wakati alikimbia mwenyewe?? Amehoji Mzee Rungwe.
 
Rungwe amefeli zamani sana,hana ubavu wa kumshawishi mtu kama Lipumba
 
Lipumba akubali arudi tu kwenye taaluma yak akapige zake research ! Asikubali kutumika kama condom! Ni aibu anadhalilisha sana fani yake! Labda sababu hana familia angekuwa tofauti...sasa hana kitu cha kupoteza!
Kwa vyeti gani vyote feki
 
Captain jemedar hashimu rungwe, nasikia alitakaga kugombea nafasi ya kua kocha wa taifa stars
 
Huyo mzee rungwe na uwanasheria wake wote kashindwa kuisoma katiba ya cuf.
Haha
Ibara ya 117(2) na 105(1),(3).zinampa prof haki ya kuwa mwenyekiti mpaka 2019
images-29.png
uungwana vitendo,really???~we're not that stupid.......
 
Lipumba akubali arudi tu kwenye taaluma yak akapige zake research ! Asikubali kutumika kama condom! Ni aibu anadhalilisha sana fani yake! Labda sababu hana familia angekuwa tofauti...sasa hana kitu cha kupoteza!
M namshauri asiondoke akaze kamba... askubali chama chake kishirikiane na genge lenye watu aliokua akipinga na kutangaza kua n mafisadi. Komaa prof, msomi hakati tamaa kamwe, pigana hadi tone la mwisho, sisi wanakafu tuko nyuma yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom