Lipumba asema "kususa uchaguzi ni kunyima haki" Je uendeshaji Wa uchaguzi wa kata 43 ndio haki?

Kapilipoint

JF-Expert Member
Nov 30, 2017
381
343
Wakuu nimeshangazwa na kauli ya Prof.Lipumba akivilaumu vyama vilivosusia uchaguzi kuwa vina wanyima haki wananchi.Napenda nimwulize Prof.Lipumba je Uendeshaji Wa uchaguzi uliopita Wa Kata 43 Wa kuwapiga wapinzani kuwazuia MAWAKALA na wagombea ulikuwa Wa Haki Kwa WANANCHI? Prof.Lipumba vyama vya Upinzani havijakuzuia kushiriki ila vyenyewe havishiriki.
 
Back
Top Bottom