Rungu la Chama Mama!Ndugu zangu Jpm alitangaza watanzania tuache siasa maana sasa ni kazi tu kwa kauli yake ya hapa kazi tu lakini ccm wanaonekana kubeba mzigo Wa mgogoro Wa CUF kwenye mikutano ya ndani na nje anayoendelea Nayo mwenyekiti Wa CUF anayetambuliwa tu na msajili Wa vyama vya siasa mikutano yake inalindwa lakini Jana tu polisi wakazuia mikutano ya maalim sef Sharif hamadi je ,who is lipumba in Ccm?
Kweli kabisa..mashavu mengine yatoka kimyakimya sio mpk kuapishana ikuluLipumba ni katibu mwenezi wa CCM
Nimeipenda hiyoKweli kabisa..mashavu mengine yatoka kimyakimya sio mpk kuapishana ikulu
Ndugu zangu Jpm alitangaza watanzania tuache siasa maana sasa ni kazi tu kwa kauli yake ya hapa kazi tu lakini ccm wanaonekana kubeba mzigo Wa mgogoro Wa CUF kwenye mikutano ya ndani na nje anayoendelea Nayo mwenyekiti Wa CUF anayetambuliwa tu na msajili Wa vyama vya siasa mikutano yake inalindwa lakini Jana tu polisi wakazuia mikutano ya maalim sef Sharif hamadi je ,who is lipumba in Ccm?
Ni kweli , amechukua nafasi ya Nape aliyehamishiwa wizarani , lakini wadau wa lumumba wamedokeza kwamba pia ni mshauri wa uchumi wa ccm , wanamtumia kufufua mashirika yaliyokufa ikiwemo SUKITA na Gazeti la uhuru .Lipumba ni katibu mwenezi wa CCM
Bwana yule