machomanne
JF-Expert Member
- Feb 22, 2017
- 822
- 926
Maalim Seif anakubalika pote , Bara na visiwani. Lipumba hata kwao Ilolangullu hakubaliki. Labda akawe kiongozi wa ngoma za kwao za waswezi.
Lipumba anafanya mikutano ya ndani kwenye CUF kama nani ???.Hatambuliki na unachama wake alishavuliwa.Huyo ni kibaraka wa Mtungi na wengine.Mkuu usingekuwa na mihemko ungeona ya kwamba Lipumba alikuwa anafanya mkutano ea ndani na si wa hadhara.
Kwa kadri nifahamuvyo mikutano ya ndani inaendelea kwa vyama vyote
Hivyo sio kwamba Lipumba ameruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa hadharsni.Usipotoshe umma.
Mkuu usingekuwa na mihemko ungeona ya kwamba Lipumba alikuwa anafanya mkutano ea ndani na si wa hadhara.
Kwa kadri nifahamuvyo mikutano ya ndani inaendelea kwa vyama vyote
Hivyo sio kwamba Lipumba ameruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa hadharsni.Usipotoshe umma.