Lipumba akiwa na Samia Suluhu

Nilimuona Maalim naye Azam Tv akisema "Inshallah nitakuwa.."
Naye apumzike tu
 
Mnikulu wa safari hii sijui vipi!! hilo kapeti lipo bize utafikiri sehemu ya burudani, kwa Mr. President nako fanicha na kapeti ni mbingu na ardhi
 
Duh! Leo kafanikiwa toka chimboni Buguruni
 
Lile sakata limepunguza kilo kadhaa kwenye mwili wake
 
Mnikulu wa safari hii sijui vipi!! hilo kapeti lipo bize utafikiri sehemu ya burudani, kwa Mr. President nako fanicha na kapeti ni mbingu na ardhi
Ni tatizo la vitu vya zawadi huwa ngumu sana kupangilia, kochi kaleta mjomba, carpet shangazi,mapazia dada hapawezi kupendeza
 
Ukiwa kinyume na upinzani wewe ni kipenzi cha CCM. Kweli wanadamu hatuna aibu walewale wanaofanya nyie msitawale huku wananchi wanawataka ndio mnaocheka nao.
 
walikuwa wanafanya nini!??
au ndo mambo ya uteuzi!??
 
Lipumba anatumika sana,hajui kwa upande wa nyuma wanaomtumia wanamuona kama hamnazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…