Lipstick

Kanyo Kanzoka

Member
Nov 14, 2013
10
0
Siku hizi imekuwa kama mtindo kwa wadada walio wengi kabla ya kwenda kwa mtu wake lazima ajilembe. Kujilemba nipamoja nakujipaka lipstick.Inasemekana wanaume wengi wanapungukiwa nguvu za kiume kwasababu ya kupiga denda wanawake waliojipaka lipstick. Unapokula denda mwanamke aliyejipaka lipstick na kumeza yale mate,inasababisha nguvu za kiume zipunguwe. Wenye tabiya kama hiyo mnashauliwa umwambie mtu wako anawe mdomo kama amejipaka kabla ya kumnyonya ulimi. :tonguez::A S tongue:
 
Mundu

JF-Expert Member
Sep 26, 2008
2,708
2,000

Ama kweli 'kamba hukatikia pembamba'. Matatizo ya NZK hayasababishwi na lipstick bana...kula dona na vyakula vya asili fanya mazoezi na pata muda wa kupumzika.
 
Ndeye

JF-Expert Member
Sep 5, 2013
214
0
Siku hizi imekuwa kama mtindo kwa wadada walio wengi kabla ya kwenda kwa mtu wake lazima ajilembe. Kujilemba nipamoja nakujipaka lipstick.Inasemekana wanaume wengi wanapungukiwa nguvu za kiume kwasababu ya kupiga denda wanawake waliojipaka lipstick. Unapokula denda mwanamke aliyejipaka lipstick na kumeza yale mate,inasababisha nguvu za kiume zipunguwe. Wenye tabiya kama hiyo mnashauliwa umwambie mtu wako anawe mdomo kama amejipaka kabla ya kumnyonya ulimi. :tonguez::A S tongue:

Je? mwanamke mwenyewe aliyejipaka akiimeza haina madhara kwakwe au haimpunguzii nguvu huyu mwanamke? jibu pls
 
DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,244
2,000
nyie watu mna mambo yaani huwa hamjisikii raha bila kumtaja mwanamke. kwanza wanaojipaka hizo lipstic ni wanawake wachache sana, lakn wanaume wenye matatizo hayo ni wengi kweli.
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
26,008
2,000
Mwisho wa mwaka lazima tafiti nyingi zitolewe
kabatini na uziwasilishe kwa waliokutuma
yaani bado kitu gani hakijatajwa sasa hapa Duniani ?
 
Kanyo Kanzoka

Member
Nov 14, 2013
10
0
Usiwe mgum kuelewa, wapo walioelewa. Wala haiitaji akili nyingi kuelewa. Wewe kama unalazimisha W isomeke M hiyo ni akili yako na ndo ulivyoelewa.
 
Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
nyie watu mna mambo yaani huwa hamjisikii raha bila kumtaja mwanamke. kwanza wanaojipaka hizo lipstic ni wanawake wachache sana, lakn wanaume wenye matatizo hayo ni wengi kweli.

Wameshaona wengi hawajiwezi wanatafuta mchawi!!!!
Na bado,mtasingizia mpaka kulala kwenye magodoro ndio kunawamaliza nguvu!!!!
 
MWANAKA

JF-Expert Member
Oct 4, 2013
4,289
2,000

Kama hali yenyewe ndo hii kweli nguvu za kiume lazima ziishe ! Utaishia kulamba lipstik tu (hahaaaaaaa,............)
 
PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,994
2,000
nyie watu mna mambo yaani huwa hamjisikii raha bila kumtaja mwanamke. kwanza wanaojipaka hizo lipstic ni wanawake wachache sana, lakn wanaume wenye matatizo hayo ni wengi kweli.

Kama ni kweli na mimi nawaona almost wanawake wote hupaka lipstik na kwa theory yako wanaume wenye tatizo ni wengi zaidi ya hao wanawake wapakao lipstik basi majanga
 
annito

JF-Expert Member
Aug 13, 2013
847
500
Wameshaona wengi hawajiwezi wanatafuta mchawi!!!!
Na bado,mtasingizia mpaka kulala kwenye magodoro ndio kunawamaliza nguvu!!!!hhaaaha aisee umeniacha hoi sana kwa comment yako lol.!!
perfomance zero badala ya kutafuta solutiona wanauziwa kesi wengineee, tutapata meng msimu huu hakika,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Similar Discussions

Top Bottom