Lips kukauka mara kwa mara

wakunata

New Member
Sep 29, 2011
1
0
Hello, nina tatizo la kukauka lips mara kwa mara naomba ushauri. ila nimeanza matumizi ya lipstic tangu nina umri wa miaka 18 na sasa nina miaka 35. tatizo hili linanikera sana kwani nisipopakaa lipstick au lipshine inabidi mara kwa mara nirambe lips zangu kulainisha.
 
Haya karibu sana jamvini WAKUNATA jisikie uko nyumbani ila subiria wajuzi wakujibu.... mie napita njia tu
 
kunywa maji mengi (sio mengi saaaaana ila kama 2 liters per day ni sawa) na usiyanywe yote kwa mara moja. kunywa tu ka glass kadogo mara kwa mara. alafu tumia "palmers' lips balm" kwa muda wa siku kama 30, utaona mabadiliko.
punguza make up kama sio zile zenye kujulikana kama loreal, lancome, clinique, revlon etc. hizi zetu za mitaani achana nazo kwanza.
vyote vikishindikana endelea kulamba lips tu, it's sexy...
 
wakunata kweli umekuja kwa kunata nata.....karibu jamvi la afya. mimi ni he, kuna kipindi ilinitokea nilikuwa napitisha ulimi. badili lip stick. machemicals haya bwana wanayachakachua sana. ila in short huna tatizo lolote.
maji mengi plus tunda.
 
vyote vikishindikana endelea kulamba lips tu, it's sexy...

kuna kipindi ilinitokea nilikuwa napitisha ulimi.

Wakuu anyway according to wataalamu wanasema usilambe kabisa lips hii inaongeza tatizo in the long run.., pia forever walikuwa na lips stick fulani ambayo ilikuwa nzuri sana anyway nimetoa hili bandiko hapa Dry Chapped Lips: How To Prevent And Treat Them angalia kwa ufahamu zaidi


 
Kuna lips zinaitwa ALOE LIPS zinatengenezwa marekani ni nzuri kwa tatizo lako husaidia kuondoa mipasuko ya midomo,ukavu,vidonda na michubuko inauzwa kwa shs 5676/= itafute ukiikosa tuwasiliane
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…