K kinywele ki1 Senior Member Joined Jan 18, 2014 Posts 119 Reaction score 23 Apr 13, 2022 #1 Nataka nianze kufuga kuku hawa wa kisasa wa mwezi mmoja, soko nitalipata wapi niwe nauza kwa jumla. Nataka nianze na kuku 200 kwanza. Kuna mtu aliniambia Shekilango, sasa anaejua utaratibu wa Shekilango tafadhali aniambie.
Nataka nianze kufuga kuku hawa wa kisasa wa mwezi mmoja, soko nitalipata wapi niwe nauza kwa jumla. Nataka nianze na kuku 200 kwanza. Kuna mtu aliniambia Shekilango, sasa anaejua utaratibu wa Shekilango tafadhali aniambie.