Shakur Dunia Salutwe
Member
- Feb 16, 2017
- 15
- 16
TOUT CANAL ndio full package ya Jamaa wa Canal sawa na premium kwa DSTV.Unaweza kuelezea menu ikoje kwa TOUT CANAL
Na gharama za ufundi ikiwa nje ya Kigoma, utalazimika kulipa gharama za fundi atakaye kugungiaKulipia ni last stage after installation
Wapi hzo receiver zinapatikana
Installation zake zikoje plus gharama za ufundi
Unless useme una wateja wako tayar so unawapa taarifa
Unapatikana wapi boss?MSIMU WA LIGI MBAIMBALI UMEKARIBIA
Jipatie king'amuzi cha Canal Plus uweze kushuhudia mitanange ya Ligi kubwa Duniani kama UEFA, EPL, LALIGA, BUNDESLIGA, SERIE A, LEAGUE 1 na nyingine kibao!
Decrder bila dish wala kifurushi ni 100k tu.
Kifurushi cha mwezi ni 46k.
Mawasiliano 0629439450