Lipi ujinga zaidi???

Kumwambia dereva/konda wa daladala msaada wakati wewe sio ombaomba
 
Kujiita msichana mtamu wakati ni mwanamke mchachu.
 
Huwa anavua suruali ofisini
au wanatumia open door policy kwenye choo cha ofisini?

Namniga.

tena piga roba ya mbao akueleze anawaonyeshaga akina nani

Huyo mume atakuwa havai sarawili au?.. Ana lake jambo lol.

Mwe....jamani!!
heheheee ...that is all Katavi? nilidhani ulihitimu kozi ya uandishi

He watu watajuaje kama anavaa hiyo hiyo kwani havai suruali

ndo ujiulize hayo maonyesho anayafanyia wapi...labda mume sharobaro huyo!!!
 
tena piga roba ya mbao akueleze anawaonyeshaga akina nani

heheheee ...that is all Katavi? nilidhani ulihitimu kozi ya uandishi

ndo ujiulize hayo maonyesho anayafanyia wapi...labda mume sharobaro huyo!!!
Hahaha! Eti mume sharobaro lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…