Lipi ni neno sahihi kati ya haya katika lugha ya Kiingereza?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,114
18,337
Hakuna ambaye anajua kutamka neno hili kwa usahihi. Wahudumu wa ndege kwa Kiingereza wanaitwaje?

Chagua jibu sahihi

A. Air hostage

B. Hair Hostess

Jibu ni kati ya hayo mawili hapo juu.
 
Back
Top Bottom