mchonjoya
Member
- Aug 17, 2016
- 80
- 198
Aisee shule ya msingi kuna mambo.ukiyakumbuka unabaki kucheka,au kujiona mjinga wa kiana flani ivi.sometimes unajipa moyo aaah nilikua mdogo.mdogo darasa,6 au 7?nikiwa darasa LA tano 1983 nakumbuka mwl alinichangua ktk kikosi cha kuimba ngonjera,ili kuwaaga walimu waliokua wanataka kuhama.
Aisee cku ilikua ngumu sana kwangu.niliomba ardhi ipasuke niingie.
Sababu nilikua naona aibu,kuimba kwenyewe cjui,naazaje.pia sijawai tu kuimba mbele ya araikhi.nawezaje kukremu ubeti wangu wakati hada idear ya kuimba cjui?nilipata wakati mgumu SNA.KIPI KWAKKO UTOSAHAU UKIWA SHULE YA MSINGI?
Sent using Jamii Forums mobile app