Ahsante kwa ufahamu wakoUko huru kutoa maoni yako
Tanga ipo hiyo?mnaizungumzia tanga hiihii ambayo maduka yanafunguliwa saa nne asubuhi na kufungwa saa moja jioni?
Tupe ushahidi juu ya hayo unayoyasemauzuri wa nini mkuu? kwa majengo Tanga ni kuzuri na kumepangika zaidi. ila kwa tabia, mbeya kuna waabudu Mungu sana wakati Tanga kuna mashoga na wanawake wanaotoa nyuma wengi kuliko mbeya. uchafu mwingi umejaa Tanga unaohusiana na uzinzi wa sodoma na gomora.
HakikaOhooo mbona rahisi sana tanga nzuri sana kulinganisha na mbeya kuanzia hali ya hewa ramani ya mji, utulivu, ukarimu wa wenyeji mandhari nzuri ya bahari tulivu, visiwa vidogo vidogo vingi ambavyo kuviangalia tu stress relief tosha!! Nadhani tanga panafaa sana kuishi na kupumzika.
Mmmh mbona mbeya naona picha za hapa sanga na airport ya zamani
Kulinganisha simba na chui? Imekaaje hivyo,Mbeya ni jiji na Tanga ni manispaa,bado hapo hujaona tafauti wewe muliza swali. Kitu gani kunaupa mji kuwa jiji? Sifa moja wapo ni mpangilio na huduma za kijamii. Hill tu linakupa mwanga wa tofauti ya Mbeya jiji na Tanga Manispaa. KaribuHivi Iringa na Dodoma vipi ipi iko juu?
Mwenyewe unajiona umepatiaaaaKulinganisha simba na chui? Imekaaje hivyo,Mbeya ni jiji na Tanga ni manispaa,bado hapo hujaona tafauti wewe muliza swali. Kitu gani kunaupa mji kuwa jiji? Sifa moja wapo ni mpangilio na huduma za kijamii. Hill tu linakupa mwanga wa tofauti ya Mbeya jiji na Tanga Manispaa. Karibu
Kulinganisha simba na chui? Imekaaje hivyo,Mbeya ni jiji na Tanga ni manispaa,bado hapo hujaona tafauti wewe muliza swali. Kitu gani kunaupa mji kuwa jiji? Sifa moja wapo ni mpangilio na huduma za kijamii. Hill tu linakupa mwanga wa tofauti ya Mbeya jiji na Tanga Manispaa. Karibu
Bado akakojoa kitandani huyoTanga manispaa. Unamiaka mingapi ndugu?
Miaka yangu inalinganishwaje na majijiTanga manispaa. Unamiaka mingapi ndugu?
Umeongea ujinga ndio maana. Karudie kusoma ulicho postMiaka yangu inalinganishwaje na majiji
Mbeya.Kati ya jiji la tanga na mbeya lipi kali kimazingira,sehemu za starehe,miundombinu shortly kila kitu
Majiji mangapi? Na wewe Umesema TANGA ni manispaa? Bwege kweli wewe... Mkikaa huko bara mnapakana Ujinga.... Mbeya shambani Tanga mjini wewe!Miaka yangu inalinganishwaje na majiji